An African Switzerland!

Umbali ni kama kilometer 150 toka Tanga, gharama inategemea na lodge/ hotel utakayofikia lakini za juu mf. lawns zina range kwenye 60 mpaka 70 Tsh.s ni sehemu nzuri sana ya kutembelea ukipata nafasi yako. Hahaaha Mzee mkapa kajenga huko nasikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Naona somo la JPM la uzalendo linaanza kuzaa matunda kwa watu fulani fulani, ile pinga pinga mpaka jinsia yako Inaanza kutoweka tartiiib
 
Mkuu redeemer naona unaleta siasa kwenye huu Uzi. Huu uzi hauna uhusiano wowote na abracadabra za Jiwe
[emoji23][emoji23][emoji23] Naona somo la JPM la uzalendo linaanza kuzaa matunda kwa watu fulani fulani, ile pinga pinga mpaka jinsia yako Inaanza kutoweka tartiiib

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…