An African Switzerland!

An African Switzerland!

Kweli tuna mengi ya kujisifia
Woow mandhari ya maporomko ya maji hadi raha
Asante kwa kuleta picha hizi na Mungu akiniwezesha ntakuja huko

Sent from my SM using Tapatalk
 
Kusema kweli naona pa kawaida tu sana ila naweza sema Tanzania is very beautiful lakini developmentwise mpo nyuma sana. Sijui nitembelee maeneo gani huu mwaka. Arusha ni pazuri sana.
Moderator huu Uzi hauhusu Kenya.
Roho mbaya
Chuki
Wivu
lkn nakupenda pamoja na yote hayo ukija arusha usiache kunitafuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mambo kama haya ndio napendaga sana yaona
 
Umbali ni kama kilometer 150 toka Tanga, gharama inategemea na lodge/ hotel utakayofikia lakini za juu mf. lawns zina range kwenye 60 mpaka 70 Tsh.s ni sehemu nzuri sana ya kutembelea ukipata nafasi yako. Hahaaha Mzee mkapa kajenga huko nasikia

Sent using Jamii Forums mobile app
bei si mbaya kwa kweli ukilinganisha na mandhari yenyewe
 
Kusema kweli naona pa kawaida tu sana ila naweza sema Tanzania is very beautiful lakini developmentwise mpo nyuma sana. Sijui nitembelee maeneo gani huu mwaka. Arusha ni pazuri sana.
Moderator huu Uzi hauhusu Kenya.
Mbona unajichanganya mara Tanzania ni pazuri sana ,mara ni pakawaida sana hueleweki. Halafu kuweka huu Uzi hapa ni ili kuwaonesha nyie wakenya sehemu nzuri za kuja kutembea na nimeeleza tangu mwanzo hapo juu please usiwe na jealousy Janerose mzalendo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Why Switzerland?

Why compare a unique beautiful Tanganyikan topography with Swiss?

Nyie ndiyo wale wale mliojazwa ujinga ukawajaa.

Huthamini kizuri chako unathamani cha mzungu.

Nenda sasa hivi uswiss milimani kama hujakutana na barafu tupu, kweupe peee. Kuna nini zaidi cha kufananisha na Lushoto?

Wacheni ujinga.
basi ni kama Makha au Madina
 
Huko Yugoslavia ndio umepewa uraia? Jina lako kama vile unatokea Burundi au Rwanda. Sorry kama nitakua nimekukwaza.

Sent using Jamii Forums mobile app
no sijapewa uraia ila yugoslavia ndio home

irakunda ni jina la mfalme wa kwanza wa yugoslavia (sengimana irakunda) huyu mfalme aliwai kutawala rwandaUrundi na baadhi ya maeneo ya kongo so hili jina kiasili ni la yugoslavia huko burundi na rwanda waliiga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Why Switzerland?

Why compare a unique beautiful Tanganyikan topography with Swiss?

Nyie ndiyo wale wale mliojazwa ujinga ukawajaa.

Huthamini kizuri chako unathamani cha mzungu.

Nenda sasa hivi uswiss milimani kama hujakutana na barafu tupu, kweupe peee. Kuna nini zaidi cha kufananisha na Lushoto?

Wacheni ujinga.

Ahaaa haaa haaa
Europe now is cold and dark. I hate Europe in this season. the pinch will go through March.

indeed, go east go west, there is no place like Afrika.
 
Back
Top Bottom