An African Switzerland!

An African Switzerland!

Waterloo

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
25,356
Reaction score
38,922
IMG_20190104_013803_115.JPG
Majirani kwa watakaopendezwa nawakaribisha sana kwa mapumziko ya mwisho wa mwaka na wakati wowote mtakapo jisikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG_20190104_014957_348.JPG
    IMG_20190104_014957_348.JPG
    50.5 KB · Views: 50
Dah mandhari nzuri hadi basi,aisee hv huko nikitaka eneo la kuishi naweza pata pa kujenga au ndo utaambiwa eneo lote ni la mzee Ben a.k.a Futufutu?

Hv umbali wake ni km ngapi mpaka Tanga mjini?

Gharama ya hapo hoteli ni bei gani per day?

Nisaidie majibu mkuu Waterloo

Sent using Jamii Forums mobile app
Umbali ni kama kilometer 150 toka Tanga, gharama inategemea na lodge/ hotel utakayofikia lakini za juu mf. lawns zina range kwenye 60 mpaka 70 Tsh.s ni sehemu nzuri sana ya kutembelea ukipata nafasi yako. Hahaaha Mzee mkapa kajenga huko nasikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂 Naona somo la JPM la uzalendo linaanza kuzaa matunda kwa watu fulani fulani, ile pinga pinga mpaka jinsia yako Inaanza kutoweka tartiiib
 
Mkuu redeemer naona unaleta siasa kwenye huu Uzi. Huu uzi hauna uhusiano wowote na abracadabra za Jiwe
[emoji23][emoji23][emoji23] Naona somo la JPM la uzalendo linaanza kuzaa matunda kwa watu fulani fulani, ile pinga pinga mpaka jinsia yako Inaanza kutoweka tartiiib

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom