KENPAULITE
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,511
- 3,313
mimi feb nipo A-town nikila bata, tho Dar nikupiga biasharaNjooni hata na matarumbeta msiogope nchi huru hii. Nashukuru kwa kuwa mkenya wakwanza kusifia uzuri wa nchi yetu hapa katika jukwaa lenu.wengine wanapita kimya kimya tu wanasoma hawakomenti chochote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kusema kweli naona pa kawaida tu sana ila naweza sema Tanzania is very beautiful lakini developmentwise mpo nyuma sana. Sijui nitembelee maeneo gani huu mwaka. Arusha ni pazuri sana.
Roho mbayaKusema kweli naona pa kawaida tu sana ila naweza sema Tanzania is very beautiful lakini developmentwise mpo nyuma sana. Sijui nitembelee maeneo gani huu mwaka. Arusha ni pazuri sana.
Moderator huu Uzi hauhusu Kenya.
bei si mbaya kwa kweli ukilinganisha na mandhari yenyeweUmbali ni kama kilometer 150 toka Tanga, gharama inategemea na lodge/ hotel utakayofikia lakini za juu mf. lawns zina range kwenye 60 mpaka 70 Tsh.s ni sehemu nzuri sana ya kutembelea ukipata nafasi yako. Hahaaha Mzee mkapa kajenga huko nasikia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina roho mbaya .Nilichoandika hapo juu ni ukweli. Arusha tulishakuja na tukakaa siku mbili. Hopefully, I will come àlone next timeRoho mbaya
Chuki
Wivu
lkn nakupenda pamoja na yote hayo ukija arusha usiache kunitafuta
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa ukija mwenyeji nipo sawaSina roho mbaya .Nilichoandika hapo juu ni ukweli. Arusha tulishakuja na tukakaa siku mbili. Hopefully, I will come àlone next time
Kweli tuna mengi ya kujisifia
Woow mandhari ya maporomko ya maji hadi raha
Asante kwa kuleta picha hizi na Mungu akiniwezesha ntakuja huko
Sent from my SM using Tapatalk
Mbona unajichanganya mara Tanzania ni pazuri sana ,mara ni pakawaida sana hueleweki. Halafu kuweka huu Uzi hapa ni ili kuwaonesha nyie wakenya sehemu nzuri za kuja kutembea na nimeeleza tangu mwanzo hapo juu please usiwe na jealousy Janerose mzalendoKusema kweli naona pa kawaida tu sana ila naweza sema Tanzania is very beautiful lakini developmentwise mpo nyuma sana. Sijui nitembelee maeneo gani huu mwaka. Arusha ni pazuri sana.
Moderator huu Uzi hauhusu Kenya.
Huko Yugoslavia ndio umepewa uraia? Jina lako kama vile unatokea Burundi au Rwanda. Sorry kama nitakua nimekukwaza.
bei si mbaya kwa kweli ukilinganisha na mandhari yenyewe
basi ni kama Makha au MadinaWhy Switzerland?
Why compare a unique beautiful Tanganyikan topography with Swiss?
Nyie ndiyo wale wale mliojazwa ujinga ukawajaa.
Huthamini kizuri chako unathamani cha mzungu.
Nenda sasa hivi uswiss milimani kama hujakutana na barafu tupu, kweupe peee. Kuna nini zaidi cha kufananisha na Lushoto?
Wacheni ujinga.
no sijapewa uraia ila yugoslavia ndio homeHuko Yugoslavia ndio umepewa uraia? Jina lako kama vile unatokea Burundi au Rwanda. Sorry kama nitakua nimekukwaza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Why Switzerland?
Why compare a unique beautiful Tanganyikan topography with Swiss?
Nyie ndiyo wale wale mliojazwa ujinga ukawajaa.
Huthamini kizuri chako unathamani cha mzungu.
Nenda sasa hivi uswiss milimani kama hujakutana na barafu tupu, kweupe peee. Kuna nini zaidi cha kufananisha na Lushoto?
Wacheni ujinga.