monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha aaa! Huu utani ni wa ngumi kabisa, shukuru Mungu keyboard ndio inakupa kiburi, kama mngekuwa karibu na huyo REDEEMER hakika pangechimbika.Wewe hata kuku wako akitaga sifa unanampa magufuli! Koronya kabisa wewe!
Haahaha haya bibi nimekuelewa na nimekoma kabisa!Why Switzerland?
Why compare a unique beautiful Tanganyikan topography with Swiss?
Nyie ndiyo wale wale mliojazwa ujinga ukawajaa.
Huthamini kizuri chako unathamani cha mzungu.
Nenda sasa hivi uswiss milimani kama hujakutana na barafu tupu, kweupe peee. Kuna nini zaidi cha kufananisha na Lushoto?
Wacheni ujinga.
Mwengine huyo.
kwaiyo tz ni nzuri kuliko norway?Mwengine huyo.
Why Norway?
kwaiyo tz ni nzuri kuliko norway?Mwengine huyo.
Why Norway?
Kuna uzuri upi wa asili huko Norway na Qatar?
qatar uzuri wake ni jangwa na majengo mazuri(ndio nchi inayopokea watalii wengi)Kuna uzuri upi wa asili huko Norway na Qatar?
asante one day nitakujaNdio pazuri sana.we unatokea nchi gani? Karibu ufurahie mandhari.
Ndiyo kama Lushoto?qatar uzuri wake ni jangwa na majengo mazuri(ndio nchi inayopokea watalii wengi)
norway ina vilima vizuri saana
Sent using Jamii Forums mobile app
Njooni hata na matarumbeta msiogope nchi huru hii. Nashukuru kwa kuwa mkenya wakwanza kusifia uzuri wa nchi yetu hapa katika jukwaa lenu.wengine wanapita kimya kimya tu wanasoma hawakomenti chochote.
Lushoto cha mtoto sema papo kiasili saidi nimeona mpaka topeNdiyo kama Lushoto?