Ana 400,000 mfuko wa shati. Anahitaji ushauri

Atafute mtu wa sokoni kwenye soko la matunda awe anampelekea machungwa halafu Aje Muheza Tanga huu ni msimu wa machungwa , kwa hela yake hiyo hatakosa kununua machungwa 5000 na ajitahidi chungwa lifike sokoni kwa bei ya Tsh 50 au 60 hata akiuza kwa bei ya jumla ya Tsh 80 hatakosa Tsh 20 ya Faida kwa kila chungwa kwa hiyo kwa machungwa 5000 hatakosa Faida ya TSH 100000 kumbuka Mzunguuko huo unaweza kuchukua wiki moja
 
cha muhimu ni NIA unaweza kuanza na chochote
 
Biashara mpya kama una uvumilivu unafunga mapema.
Pesa hiyo ni kutafuta mwenzake mwenye pesa kama yeye wakashirikiana biashara yoyote itakayokuwa fursa kwao
 
Uyo jamaa ako ndo wewe
 
Nimekuc
Nimekucheki DM mkuu
 
Biashara ukishauriwa kwa maneno unaweza kuona umekuwa tajiri tayari.... Ipeleke kwenye vitendo sasa..

Niliwahi kushauriwa biashara fulani ambayo kwa siku nitaingiza tsh elf 10..

Mwisho wa cku hata elf 3 nilikuwa sipati..

NB: Sikatish tamaa ila ukipewa idea fulani usijipe mategemeo makubwa.. biashara ni risk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…