Ana dalili zote za ujauzito lakini vipimo havionyeshi

Toga

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2015
Posts
586
Reaction score
604
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 25 nina mke wangu shida angu ni kwamba kama kuna mtaalamu humu ndani anisaidie maana mke wangu anaonyesha dalili zote za kuwa mja mzito kama kutopa siku zake kutapika matiti kuwa makubwa lakini kila tukipima kwa kutumia UPT hatuoni kitu.

Naombeni msaada kama kutakuwa na doctor yoyote humu ndani.
 
Naomba kujua dalili za ujauzito zinaanza kuonekana baada ya muda gani toka siku ya fertilization.
 
siku zangu za kupata bleedy zimeoitiliza sahiv nasikia maumivu kidogo chin ya kitovu hii ni dalili ya nini?
 
Kwanza unatakiwa ujue kuwa upo katika mzunguko wa ngapi, baada ya hapo ndio unaweza kupata jibu sahihi. Ila wanawake wengi mzunguko wao ni siku 28-29 sasa kama upo kwenye mzunguko huo kama ulifanya mapenzi bila kinga kuanzia siku ya 12 au ya 16-17 basi ( na maanisha kuanzia siku ya 12 mpaka 17) basi ujue huo ni ujauzito. Maana siku ya hatari kabisa ni siku ya 14.
 
baada ya wiki mbili kuanzia hapo ndiyo unaweza ona vimabadiliko kwa mbali japo wengi huwa hawapati mabadiliko zaidi ya kukosa hedhi... dalili za mimba za mwanzo zinakuwa kama za bleed ya kawaida tu... njia ya kuthibitisha kama unamimba ni kupima .... ila kama dalili nyingine nyingi nyingi utaziona wiki ya tatu na kuendelea
 
mzunguko wangu ni siku 30 maana nikianza bleedy tar.6 nimpaka tar.6 mwezi mwingine na njia niliyotumia kuzuia mimba ni withdraw method
 
Kanunue Pregnancy test Mkuu, ni 1,000 tu kisha fuata melekezo. Na kama huwezi kukutumia hiko kifaa tutaarifu tukuelekeze.
Kipimo hiki kinafanya kazi baada ya wiki mbili.
 
mzunguko wangu ni siku 30 maana nikianza bleedy tar.6 nimpaka tar.6 mwezi mwingine na njia niliyotumia kuzuia mimba ni withdraw method

Duu, umenfurahsha na njia unayotumia kuzuia mimba. Huyo boy wko ana uvumilivu.

Back to ze topic: Dalili kuu ni kutoona period kabsa kwa mwez hucka
 
mzunguko wangu ni siku 30 maana nikianza bleedy tar.6 nimpaka tar.6 mwezi mwingine na njia niliyotumia kuzuia mimba ni withdraw method

Siku 30 bado ipo kwenye siku 28-29 kwa hiyo unatakiwa kujua kuwa ulifanya ukiwa kwenye siku ya ngapi. Sometimes hizi njia za kuzui ujauzito zinaweza zisifanye kazi kulingana na hali ya mwili au nguvu ya dawa. Cha msingi sasa hivi upime kwanza.
 
mzunguko wangu ni siku 30 maana nikianza bleedy tar.6 nimpaka tar.6 mwezi mwingine na njia niliyotumia kuzuia mimba ni withdraw method[/QUOTE
withdraw method ukitumia kuna uwezekano wa kupata mimba ni mkubwa
 
Duh! Mbona mabinti mnaziogopa sana mimba siku hizi? Utakuta vi binti vinakimbilia ma-famasi kutafuta PG analogues after unprotected sex. Si msubiri ndoa?!
 
Hiyo ni mimba na ndio matunda ya ngono zembe uliopanda, na Ole wako uitoe hiyo Mimba utanitambua.
 
"When you are looking for your period.. It's worse than looking for money"

Mpendwa Kanunue pregnancy test ujipime mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…