Toga
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 586
- 604
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 25 nina mke wangu shida angu ni kwamba kama kuna mtaalamu humu ndani anisaidie maana mke wangu anaonyesha dalili zote za kuwa mja mzito kama kutopa siku zake kutapika matiti kuwa makubwa lakini kila tukipima kwa kutumia UPT hatuoni kitu.
Naombeni msaada kama kutakuwa na doctor yoyote humu ndani.
Naombeni msaada kama kutakuwa na doctor yoyote humu ndani.