wizara gani atakayoiweza kwa mtazamo wako?Mnafiki tu ye mwenyewe na wanae wakwepa ushuru wazuri kwenye mizigo yake ya biashara,hana uzalendo wowote!huyu mama anakuwa kama ana hasira sana,nashauri apewe uwaziri,au mtoto wa bagamoyo hana mpango naye??sio fresh!
Kwani nchi unahitajika kuwa na sifa gani ili uwe waziri? kama urais tu mtu yeyote anaweza kuwa Rais nchi hii sembuse uwaziri?Hapewe Uwaziri kwa Lipi?
Tena hata Baraza lililopo kubwa Mnooo
im very serious nngu,huyu mama yetu anazeeka haraka labda mawazo,tumsaidie