Elections 2010 ana kilango malechela mbona hapewi uwaziri?

Elections 2010 ana kilango malechela mbona hapewi uwaziri?

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,420
jana nimemsikiliza akiongea kuhusu jeshi letu,
mbona huyu mama anaongea kama mtu mwenye mamlaka?
mbona wee mzee wa mishen town usimpe uwaziri huyu mama?
mama lakini mbona unazeeka haraka?
take it easy mama,maisha ndo hivyo!
asante sana!!!!!!!!!!!!!!!
 
hana issue huyu mother...akipewa uwaziri hatauweza nia galasa la kufa mtu .. jimbo lake watu wanataabika sembuse uwaziri
 
kuna mabadiliko yanakuja.. endelea kumwombea labda vasco da gama atamkumbuka
 
Hapewe Uwaziri kwa Lipi?
Tena hata Baraza lililopo kubwa Mnooo
 
huyu mama anakuwa kama ana hasira sana,nashauri apewe uwaziri,au mtoto wa bagamoyo hana mpango naye??sio fresh!
 
huyu mama anakuwa kama ana hasira sana,nashauri apewe uwaziri,au mtoto wa bagamoyo hana mpango naye??sio fresh!
wizara gani atakayoiweza kwa mtazamo wako?Mnafiki tu ye mwenyewe na wanae wakwepa ushuru wazuri kwenye mizigo yake ya biashara,hana uzalendo wowote!
 
Hapewe Uwaziri kwa Lipi?
Tena hata Baraza lililopo kubwa Mnooo
Kwani nchi unahitajika kuwa na sifa gani ili uwe waziri? kama urais tu mtu yeyote anaweza kuwa Rais nchi hii sembuse uwaziri?
 
inawezekana yule mzee wake haelewani na huyu jamaa wa bagamoyo
 
wampe uwaziri wa starehe na mambo ya bunge
 
Rose kumbe wewe habajuagi eeh?unaju huyu mama anazeeka majukumu mengi,maana kule jimbon kwake nikama Rais,anawasaidia mpk chumvi za kupikia mboga ya mlo mmoja,na kiukweli yuko serious,kua na saloon sio issue jmn.sasa ccm hawatak mtu mchapa kaz kwajil ya watz kwahiyo atakalia mabench yale mpk akome.
 
Jana kamuumbua Ngeleja kua anamnunulia chai kila wakiongelea mambo ya umeme kwa watu wake,halafu ngoma inaishia hapo kwa mama ntilie.Teeeeeh teeh teeeeh Ngeleja alitaman ardhi ipasuke...!!!!!!!!!Ila nomaa eeh bunge la Tz bwana?pale alikua hadai umeme wala nn shida kale kakijana kamewachosha watu,so chocht kataambiwa mpk kajitoe pale...Nahis uswahiba umeishia pale...Teeeeh teeeh.LOVE U TANZANIA
 
Back
Top Bottom