Ana miaka 46 anataka kunioa, je hii ni sawa kwa umri wangu?

kiss ov love

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2025
Posts
9,388
Reaction score
16,188
NRNE

Huyu mbaba ni mtu mzima mwenye umri miaka 46, kaniambia nikikubali kuwa naye yupo tayari kunioa, mimi nina miaka 23 tu, je ni sahihi?

Kaniambia mtoto wake wa kwanza ana miaka 16, aliachana na mkewe sasa hivi anaishi mwenyewe.

Naombeni mawazo yenu wadau
 
Mambo ya ndoa ni mtambuka, tunaangalia factors nyingi sana before making commitment.

Tofauti na zamani waliamini watazeeka wote, Sasa hivi mnaangalia utanufaika na nini.

Kama unampenda olewa nae by the way yeye ndiyo Yuko kwende disadvantage kwasababu muda ambao wewe utakuwa high kwenye sex drive, yeye atakuwa ameshakinai.
Matokeo yake utachepuka na utamuua kwa presha.

Kuna siku itafika utaongozana na mbabu halafu utaona aibu kumtambulisha kwa marafiki zako.

Kifupi mambo ni mengi kwa upande wa jamaaa kuliko upande wako. Anajitaftoa presha zisizo maana.
 
Subiri kwanza ukifika miaka 35 hutokuja kuuliza hapa, utakua na Majibu mwenyewe.
 
Binti, kwann unataka kwenda kupata laana kwa kuangalia mwili wenye mikunjo kama wa babu yako wakati mm nipo kijana mwenzako, naomba uje pm tuyajenge ili tuje kuwa mwili mmoja.
 
Mimi sipendi kucheat kabisa hilo liniepuke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…