Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 43,233
- 51,648
MlandiziWapi?
MlandiziWapi?
Kaza masta mimi nitachangia kreti moja la bia na nitatenga mda wa kulifuata kreti langu huko milimani kwenu upareni kwenye harusi yenu.Mkuu, mm niko seriously Kwenye hili
Kwamba hujui kwenye ndoa kuna joto?Kumbe kuna kulala uchi tena
pambafu yaani mimi mzee?Njoo kwangu achana na huyo "mzee"
UKiwa tayari sema nikupe contract uisome.
Inasikitisha sana 😁😁Hapana sio kweli, naomba ufungue pm yako, sio sawa kwa miaka yako hiyo kuanza maisha na babu tena mwenye mtoto.
Niko serious binti Sayuni
Chukua dingi hilo achana na sisi😅Nyie ndiyo mko kwenye kile chama
Sijui maana sijawahi kuingiaKwamba hujui kwenye ndoa kuna joto?
Asante mkuu kwa baraka zako, kreti na chupa zitakuwa salamaKaza masta mimi nitachangia kreti moja la bia na nitatenga mda wa kulifuata kreti langu huko milimani kwenu upareni kwenye harusi yenu.
Ngoja nijifikirieChukua dingi huo achana na sisi😅
Niko serious mamaaInasikitisha sana 😁😁
Ewaaa,Sijui maana sijawahi kuingia
Anachezea bahati [emoji1]Na,kama ni mtumishi wa umma bado miaka tisa astaafu kwa hiyari.Achangamshe ubongo aitwe "mshangazi-maokoto"!
Mgeni wa jiji au?Ewaaa,
Kumbe wote sisi ni wageni, sema mimi nimekuzidi kidogo.
Ingia mkuu.Hakuna kulala hata na bangili achilia mbali kimwanandani aka kyupi.Sijui maana sijawahi kuingia
Kreti chupa na pombe zote ziwe salama masterAsante mkuu kwa baraka zako, kreti na chupa zitakuwa salama
Asante mkuu nitatafakari kwa kina kabla sijachukua maamuziKifupi sana.
Kama umempenda kutoka moyoni ingia mzima mzima na kama kakupenda na wewe ukampenda umri doesn't matter.
Ukiwa umeona kitu (kwake) nje ya ndoa yenu usiingie ni hatari huyo ni mtu mzima.
Kama una akili zitakazokupa uimara wa akili pale utakapopevuka kiutu uzima (on 28 - 35) ingia mazima, vinginevyo usichukulie simple kuna moto 🔥 huku binti yangu.
MWISHO; Ongea na mamako akupe tips za kipindi cha miaka niliyotwja pale juu, kisha kaa kitandani kila siku (saa 8 usiku) tafakari kuhusu hii kitu, si mchezo binti.
NB: Mwanangu sikia mahusia yangu ili usije kuiona dunia chungu - C&C.
Ni kwamba kila siku mechi au?Ingia mkuu.Hakuna kulala hata na bangili achilia mbali kimwanandani aka kyupi.
😂😂😂Binti Sayunii ulimkataa tajiri yetu Tajiri Sina BAYA leo unataka kuolewa na mzee kweli 😄😄😄 Harmful hii ni sawa kweli
Kama ambavyo nitamlinda Binti Sayunii, hvy ndivyo nitalinda kreti na chupa zako mkuuKreti chupa na pombe zote ziwe salama master