Ana miaka 46 anataka kunioa, je hii ni sawa kwa umri wangu?

Ana miaka 46 anataka kunioa, je hii ni sawa kwa umri wangu?

😂😂😂
Jandoni kuna Wimborne tuliimbiwa mstari wa mwinsho unasema 'Yote ni ya mungu wengine kula mtama wengine mpunga'
Ndiyo kitu kimempata rafiki yangu Binti Sayunii

Mkuu Harmful naomba utuletee ule wimbo msanii anasema "ni kama niliruka majivu na kukanyaga moto.. matusi na kunifedhehesha vikawa malip.."
Wewe ulisema hutaki vipotabo unataka mizigo au siyo wewe?
 
NRNE

Huyu mbaba ni mtu mzima mwenye umri miaka 46, kaniambia nikikubali kuwa naye yupo tayari kunioa, mimi nina miaka 23 tu, je ni sahihi?

Kaniambia mtoto wake wa kwanza ana miaka 16, aliachana na mkewe sasa hivi anaishi mwenyewe.

Naombeni mawazo yenu wadau
Huyo ndie Husband material, Hana mambo mengi.. ila kama unataka show, olewa na kijana.
 
Back
Top Bottom