Ana miaka 46 anataka kunioa, je hii ni sawa kwa umri wangu?

Ana miaka 46 anataka kunioa, je hii ni sawa kwa umri wangu?

NRNE

Huyu mbaba ni mtu mzima mwenye umri miaka 46, kaniambia nikikubali kuwa naye yupo tayari kunioa, mimi nina miaka 23 tu, je ni sahihi?

Kaniambia mtoto wake wa kwanza ana miaka 16, aliachana na mkewe sasa hivi anaishi mwenyewe.

Naombeni mawazo yenu wadau
Kipya kipi hapo, kama kukulana mmekulana vya kutosha...muendelee mlipo huo ndo ushauri wangu!!
 
NRNE

Huyu mbaba ni mtu mzima mwenye umri miaka 46, kaniambia nikikubali kuwa naye yupo tayari kunioa, mimi nina miaka 23 tu, je ni sahihi?

Kaniambia mtoto wake wa kwanza ana miaka 16, aliachana na mkewe sasa hivi anaishi mwenyewe.

Naombeni mawazo yenu wadau
Kwani wewe bado bikira?
Kama sio bikra basi umeshakuwa used,

Unawezaolewa hata na mwanaume wa miaka 50.
 
Ujue sisi tupo kwenye peak ya kuenjoy na hawa watoto, ndio maana unaona wazee wengi wa 40s wanakula hizi totoz za 20s...tena zinatupenda sana, huwa tunazikimbia😅

Acha kucharazia dogo!
Ila sion haja ya yeye kuwa na mwanaume aliyemzidi miaka 20+ wakati age mate wake tupo
 
Back
Top Bottom