Ana miaka 46 anataka kunioa, je hii ni sawa kwa umri wangu?

Ana miaka 46 anataka kunioa, je hii ni sawa kwa umri wangu?

NRNE

Huyu mbaba ni mtu mzima mwenye umri miaka 46, kaniambia nikikubali kuwa naye yupo tayari kunioa, mimi nina miaka 23 tu, je ni sahihi?

Kaniambia mtoto wake wa kwanza ana miaka 16, aliachana na mkewe sasa hivi anaishi mwenyewe.

Naombeni mawazo yenu wadau
Sasa unayetakiwa Kuolewa na Kushindiliwa nao ni Wewe mwenyewe halafu tena unatuuliza sisi Watu baki tukueleweje labda?
 
Back
Top Bottom