kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
- #381
Asante sana mkuu nitafanya hivyoTafuta umri wako achana na watalaka
Asante sana mkuu nitafanya hivyoTafuta umri wako achana na watalaka
Hakikisha tu ako na pesa na unaweza anachunika hata ukiachwa uwe unaweza simama.NRNE
Huyu mbaba ni mtu mzima mwenye umri miaka 46, kaniambia nikikubali kuwa naye yupo tayari kunioa, mimi nina miaka 23 tu, je ni sahihi?
Kaniambia mtoto wake wa kwanza ana miaka 16, aliachana na mkewe sasa hivi anaishi mwenyewe.
Naombeni mawazo yenu wadau
Mh mbona unanitisha mkuu
Basi pita hivi na umchane ukwer🤣🤣Moyo wangu unasita kuingia kwenye hili handaki
Ng’wanisale mle mhola? Tukutane ili kuweka mikakati ya kumweka sawa huyu Mama Ndege. Asije akatoa utamu kwa babu!!!Zugu nkoi
Hatari sana.Tofauti na zamani waliamini watazeeka wote, Sasa hivi mnaangalia utanufaika na nini.
Huyo mzee mwenyewe alikuwa muhuni nilishamkaushia, yeye mada zake ni za kuzagamuana tu alinishindaBora uolewe ustirike kuliko hao vijana wanaokula mzigo bure
NRNE
Huyu mbaba ni mtu mzima mwenye umri miaka 46, kaniambia nikikubali kuwa naye yupo tayari kunioa, mimi nina miaka 23 tu, je ni sahihi?
Kaniambia mtoto wake wa kwanza ana miaka 16, aliachana na mkewe sasa hivi anaishi mwenyewe.
Naombeni mawazo yenu wadau
46 ni mzee?Huyo mzee mwenyewe alikuwa muhuni nilishamkaushia, yeye mada zake ni za kuzagamuana tu alinishinda
Njoo nikuoe mimi nina miaka 25 tuh, gari ninalo.NRNE
Huyu mbaba ni mtu mzima mwenye umri miaka 46, kaniambia nikikubali kuwa naye yupo tayari kunioa, mimi nina miaka 23 tu, je ni sahihi?
Kaniambia mtoto wake wa kwanza ana miaka 16, aliachana na mkewe sasa hivi anaishi mwenyewe.
Naombeni mawazo yenu wadau
Kwa Mwanamke YES kwa Mwanaume NO46 ni mzee?