Ana miaka 46 anataka kunioa, je hii ni sawa kwa umri wangu?

Angewahi kuzaa huyo ni baba ako kabisa. Hiyo ni gia ya kukupata tu hana cha kukuoa wala nini
 
46 sio mzee kwa sasa ila baada ya miaka 20 wewe utakuwa na 43 yeye atakuwa na 60 hapo wewe ndio utamlea badala yeye kukulea!!.
 
Angewahi kuzaa huyo ni baba ako kabisa. Hiyo ni gia ya kukupata tu hana cha kukuoa wala nini
Kwani kuba ubaya?. Mzee mengi hakuoa mwanamke anayezidiwa na mtoto wake?. Wewe hujawahi kutoka na mwanaume anayekuzidi.
 
Mume wangu kanizidi umri lakini sio miaka zaidi ya 20. Huyu bado ni mdogo huwez mlinganisha na klynn ambaye alishayapitia mengi kabla ya kuolewa
 
Unatania bila shaka, huu ushauri ni wa kuwaomba wazazi wako, sio humu sababu hatukujui ulivyo. Ila ngoja nikupe siri, hakuna kijana mdogo mwanaume mwenye nia ya kuoa in their early 20s, kama wapo basi wachache. Mfano mimi nina 21, ila nimepanga kuoa nikifika 30s, tena naoa msichana mdogo niliyemzidi miaka 5 mpaka 10. Hiyo inamaanisha nini? Muda wa kuolewa kwa mwanamke ni in their prime, early 20s. Ikizidi hapo basi muda wake sokoni umeisha.

Now, use your own brain.
 
Asante mkuu kwa ushauri, umefumbua macho, nisingejua haya yote kama nisingelileta humu
 
Back
Top Bottom