Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Mengine tutayaongea private mamaaUpo seriously unataka kuoa?
Mengine tutayaongea private mamaaUpo seriously unataka kuoa?
Sasa saizi muwaachie vijana nao wajilie ,. Hangaikeni na wa 90's au mnataka watoto waoe kina nani??Wala,si kweli.Tunafunga kwa juhudi zetu kama Kibu Dennis.
😂😂😁eeehChezesha kiuno mtoto wa kike,. Mbona Hadi mashamba ya ukoo atakurithisha wewe
Akifa unasumbuana na ndugu mahakamani mzee aliandika urithi akiwa kitandani mahabani😂😂
Kwa niaba ya "mahensham" wazee,nimechukua ushauri huu mwororo.Sasa saizi muwaachie vijana nao wajilie ,. Hangaikeni na wa 90's au mnataka watoto waoe kina nani??
Age mate sio sahihi kuoa sababu baada ya miaka 10 ya ndoa wanawake wanawahi sana kuzeeka inakuwa kama umeoa umri wa shangazi yako.Ila sion haja ya yeye kuwa na mwanaume aliyemzidi miaka 20+ wakati age mate wake tupo
Changamka,.😂😂😁eeeh
Hapo sawaKwa niaba ya "mahensham" wazee,nimechukua ushauri huu mwororo.
Ila wazee wa hii nchi,.Nina 48 mke wangu ana 18
Mzee babu yako,48 nimtu wa makamoIla wazee wa hii nchi,.
Mnakula vizazi vyoote 😂😂😂🙌
Mwana JF?NRNE
Huyu mbaba ni mtu mzima mwenye umri miaka 46, kaniambia nikikubali kuwa naye yupo tayari kunioa, mimi nina miaka 23 tu, je ni sahihi?
Kaniambia mtoto wake wa kwanza ana miaka 16, aliachana na mkewe sasa hivi anaishi mwenyewe.
Naombeni mawazo yenu wadau
Hapana siyoMwana JF?
Mmmmmh,. Kwa huyo binti wewe ni Mzee bhanaMzee babu yako,48 nimtu wa makamo
Sasa wewe unaejiona kijana ni kwa nini uko single? Na kwa nini aje kwako ilhali hapo unapoishi na unapofanya kazi wako mademu kibao wa age yako na umeshindwa kumpata mchumba na unamtaka kumfuata huyu wa mitandaoni? Unamshauri aachane na mtu alokuwa yuko tayari kumuoa aje umcheze chezee halafu umkimbie tu!Njoo kwangu achana na huyo "mzee"
UKiwa tayari sema nikupe contract uisome.
Hapo nenda taratibu, angekuwa mwana JF, ningekueleza mpeleke kwa shekhe kesho kabla wakina nyaku nyaku wa JF hawajamchukuaHapana siyo
Ila miaka 20+ n uongo aiseeAge mate sio sahihi kuoa sababu baada ya miaka 10 ya ndoa wanawake wanawahi sana kuzeeka inakuwa kama umeoa umri wa shangazi yako.
Chuo cha wapi labda madrasa,aliyekwambia mabinti wa kitutsi wanasoma nani?Mmmmmh,. Kwa huyo binti wewe ni Mzee bhana
Em mwache mtoto huyo amalize hata chuo basi mwee!!
Kama hivyo sawa,. Sema uwaambie na wenzio ulikompata waende..Chuo cha wapi labda madrasa,aliyekwambia mabinti wa kitutsi wanasoma nani?
Ana mwili mkubwana mimi mti mkavu kimbaumbau tukiongozana hakuna anayejua kuwa nimempita miaka 30