kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
- #181
Tumia tafsida basiHuyo wa miaka 46 amekukuta wewe bikra au Tyr ushatonolewa na miboro ya kila aina? Aliyekutoa bikra ana umri Gani? Tuanzie hapo
Tumia tafsida basiHuyo wa miaka 46 amekukuta wewe bikra au Tyr ushatonolewa na miboro ya kila aina? Aliyekutoa bikra ana umri Gani? Tuanzie hapo
Hatujawahi badoKama dushe lake linapita na unafeel ut@mu olewa naye na muendelee kupeana sukari.
Kila la heri.
Ila kuna wazee wa miaka 90 bado wanapiga shoo za kibabeMambo ya ndoa ni mtambuka, tunaangalia factors nyingi sana before making commitment.
Tofauti na zamani waliamini watazeeka wote, Sasa hivi mnaangalia utanufaika na nini.
Kama unampenda olewa nae by the way yeye ndiyo Yuko kwende disadvantage kwasababu muda ambao wewe utakuwa high kwenye sex drive, yeye atakuwa ameshakinai.
Matokeo yake utachepuka na utamuua kwa presha.
Kuna siku itafika utaongozana na mbabu halafu utaona aibu kumtambulisha kwa marafiki zako.
Kifupi mambo ni mengi kwa upande wa jamaaa kuliko upande wako. Anajitaftoa presha zisizo maana.
Hiyo kawaida. Tofauti ya miaka 20 na zaidi ni kubwa sana.Mbona hatari sasa
Wewe ni bikra au?Hatujawahi bado
Sio sawa, ww umri wa mwisho mtu awe na 30 asizidi hapo.NRNE
Huyu mbaba ni mtu mzima mwenye umri miaka 46, kaniambia nikikubali kuwa naye yupo tayari kunioa, mimi nina miaka 23 tu, je ni sahihi?
Kaniambia mtoto wake wa kwanza ana miaka 16, aliachana na mkewe sasa hivi anaishi mwenyewe.
Naombeni mawazo yenu wadau
Atajuta pamoja na mambo mengine hawana muda wa mapenzi hao😀utakereka tuWewe unapenda vibabu olewa tu
Halafu wewe una miaka 25 usitupange usufikiri nyuzi zako hizo hatuzisomi humu
Endelea tu mkuu nizidi kujifunzaSio sawa, ww umri wa mwisho mtu awe na 30 asizidi hapo.
Kwanza huyo au niishie hapo
Una maanisha nini mkuu2×23 chromosomes
Nitasema na moyo wangu vizuriWewe ni bikra au?
Kama sio endelea na mtu wako ila usije kuwa unataka kuolewa naye ili upate urithi itakucost sana tu.
Hata ndugu zangu watanishangaaHiyo kawaida. Tofauti ya miaka 20 na zaidi ni kubwa sana.
Nisamehe nilitaka kusema umri mara 2 yake.Sasa mafile yakawa mengi.Una maanisha nini mkuu
Kwahiyo nijiandae kumuuguza?Nisamehe nilitaka kusema umri mara 2 yake.Sasa mafile yakawa mengi.
Umri huana kipingamizi.Lakini mkubaliane na changamoto za sasa.
Jogoo kukosa nguvu...magonjwa...na mengineyo.
Mkila vizuri na kufanya yenu mambo yatakuwa motrooo.
Nina ushuhuda huo..mwanamke akiwa mdogo..mwanaume akaze pumb××u.
HII INAITWA. CONTENT CREATION.........UMEFAULU HONGERA SANA ...NRNE
Huyu mbaba ni mtu mzima mwenye umri miaka 46, kaniambia nikikubali kuwa naye yupo tayari kunioa, mimi nina miaka 23 tu, je ni sahihi?
Kaniambia mtoto wake wa kwanza ana miaka 16, aliachana na mkewe sasa hivi anaishi mwenyewe.
Naombeni mawazo yenu wadau
Nina ogopa kuingia baadae nianze kujutiaOlewa tu mkuu usije singizia tulikuzuia
Siyo kweli mkuu ishu serious hii ujueHII INAITWA. CONTENT CREATION.........UMEFAULU HONGERA SANA ...
Kwahiyo nijiandae kumuuguz
Sasa akizeeka si atakuwa hana nguvu, naona hii ndoa itanishindaSio kumuuguza hapana.Wewe ulipo hapo sex drive yako ni kubwa sana.
Sasa mtunze Jamaa show ziwe za kueleweka.Sababu kuu za kuchepuka ni shows na pesa..pesa shows