figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Kinachooa ni umri? Tafuta umpendaye muishi kwa furaha. Linda moyo wako kuliko chochote
Ki ukweli mtagombana sana.Kikubwa kama utakubaliana na hayo.Sasa akizeeka si atakuwa hana nguvu, naona hii ndoa itanishinda
Husiogope watu kukushangaa. Fanya kitu ambacho nafsi yako imeridhia. Ila chondechonde husiolewe naye kwa sababu ya kitu fulani nje ya upendo. Itakusumbua sana.Hata ndugu zangu watanishangaa
Ukibaki mjane utalia hadi unagalagala na kuongea kilugha??NRNE
Huyu mbaba ni mtu mzima mwenye umri miaka 46, kaniambia nikikubali kuwa naye yupo tayari kunioa, mimi nina miaka 23 tu, je ni sahihi?
Kaniambia mtoto wake wa kwanza ana miaka 16, aliachana na mkewe sasa hivi anaishi mwenyewe.
Naombeni mawazo yenu wadau
NRNE
Huyu mbaba ni mtu mzima mwenye umri miaka 46, kaniambia nikikubali kuwa naye yupo tayari kunioa, mimi nina miaka 23 tu, je ni sahihi?
Kaniambia mtoto wake wa kwanza ana miaka 16, aliachana na mkewe sasa hivi anaishi mwenyewe.
Naombeni mawazo yenu wadau
Ni kweli mkuu lakini huyu mbaba naona hadi aibu ikifika huo muda wa kwenda kumtambulisha kwa ndugu na wazaziKama ni kuolewa usikatae, kataa UZINZI usikatae ndoa kwani mapenzi haya UMRI.
Unaweza kuolewa na kijana ukajuta kuolewa na unaweza kuolewa na mzee ukafurahia ndoa.
Kwahiyo niolewe kwasababu pesa zipoUkibaki mjane utalia hadi unagalagala na kuongea kilugha??
Au utalia umevaa miwani nyeusi huku unajifuta na tissue.
Kama jibu ni la kwanza achana nae huyo ni mzee, kama jibu ni la pili olewa mdogo angu age is just a number.
binti kiziwi Atoto muongezeeni neno la kujenga.
Asante sana mkuu, nitatafakari kwa kina kabla ya kuchukua hatuaHusiogope watu kukushangaa. Fanya kitu ambacho nafsi yako imeridhia. Ila chondechonde husiolewe naye kwa sababu ya kitu fulani nje ya upendo. Itakusumbua sana.
Sasa unaolewa na mtu rika la dingi ako kwa sababu gani dadaKwahiyo niolewe kwasababu pesa zipo
Sawa mkuu nitalifanyia kazi hiloSasa unaolewa na mtu rika la dingi ako kwa sababu gani dada
Bado hatujajaribuKwani k yako haina uwezo wa kuhimili mgegedo wa huyo jamaa?
Husiogope watu kukushangaa. Fanya kitu ambacho nafsi yako imeridhia. Ila chondechonde husiolewe naye kwa sababu ya kitu fulani nje ya upendo. Itakusumbua sana.Hata ndugu zangu watanishangaa
Vizuri. Amini katika maamuzi unayoyafanya. Kama yanakupa amani ya moyo go ahead. La hasha hayakupi amani ya moyo achanana nayo. Kwa umri ulionao bado una nafasi kubwa yakuamua mustakabari wa maisha yako.Asante sana mkuu, nitatafakari kwa kina kabla ya kuchukua hatua
Asante sana mkuu kwa ushauri wakoHusiogope watu kukushangaa. Fanya kitu ambacho nafsi yako imeridhia. Ila chondechonde husiolewe naye kwa sababu ya kitu fulani nje ya upendo. Itakusumbua sana.
Vizuri. Amini katika maamuzi unayoyafanya. Kama yanakupa amani ya moyo go ahead. La hasha hayakupi amani ya moyo achanana nayo. Kwa umri ulionao bado una nafasi kubwa yakuamua mustakabari wa maisha yako.
Bado sijaanza kumpendaIngekuwa ni yeye ameomba ushauri ningemwambia asikuoe maana kama umempenda usingekuja hapa kuhoji
Hapana badoKama umeshampa unaogopa nn sasa?
Basi acha ili atafute mwingineBado sijaanza kumpenda