yassird200
JF-Expert Member
- Jan 2, 2025
- 978
- 1,716
Hao ndo waoaji sisi vijana wenzako niwazugaji tuHapana bado
Hao ndo waoaji sisi vijana wenzako niwazugaji tuHapana bado
Jaribisheni kwanza tuoneBado hatujajaribu
Unamuogopesha kutizama poumbu lenye mviWakati ukifikiria khs hilo, tambua mm nna 28 hvy kimwili naendana kabsa nawe, Hakuna haja ya kumchukua mtu ambaye hutoweza kumuangalia mkiwa uchi pamoja mana mwili wake utakuwa na mikunjo ya utu uzima.
Na wasi wasi nisije pata kazi ya kumuuguza hapo baadaeHao ndo waoaji sisi vijana wenzako niwazugaji tu
Mh! atakuwa mzee wa ajabu sanaHuyo ndiyo mwanaume wa saizi yako sasa. Uke wako utazeeka (ukifika miaka 45) yeye utamuacha bado anatamani maana wanaume wanapiga shoo mpk miaka 90
As long as haupo chini ya miaka 18, go ahead. Kama umefanya utafiti na unaona anakupenda kwa thati, anakuheshimu, na wewe pia unampenda kwa thati, na unamuheshimu, sioni tatizo hapo.Mambo ya ndoa ni mtambuka, tunaangalia factors nyingi sana before making commitment.
Tofauti na zamani waliamini watazeeka wote, Sasa hivi mnaangalia utanufaika na nini.
Kama unampenda olewa nae by the way yeye ndiyo Yuko kwende disadvantage kwasababu muda ambao wewe utakuwa high kwenye sex drive, yeye atakuwa ameshakinai.
Matokeo yake utachepuka na utamuua kwa presha.
Kuna siku itafika utaongozana na mbabu halafu utaona aibu kumtambulisha kwa marafiki zako.
Kifupi mambo ni mengi kwa upande wa jamaaa kuliko upande wako. Anajitaftoa presha zisizo maana.
Bado hatujaoana, hata hivyo mimj mwenyewe ntakuwa nachakarika hivyo tutasaidiana majukumu ya familiaKatika hiyo ndoa wewe uanachangia nini nje ya utelezi
Ndiyo mkuu nimebadili USER nameMama ndege na binti Sayuni je ni mtu mmoja?
Hata wewe bado mbaba mbonaNjoo kwangu kijana mwenzio wa miaka 35 acha na wababa 😊🤗
Umeongea point mkuu nitafatilia haya niyajue kwa undaniNachokuuliza kwanza wewe na mwanae mmetofautiana kidogo sana, ni mtu na mdogo wake,
Pili walitengana na mkewe kwa muda gani? Je huyo mwanamke walifunga ndoa au ilikuwa ni sogea tukae ? Je bibiye kama walifunga ndoa au sogea tukae alivyo achana huyo mke mkubwa ameolewa au ?
Tatu jamaa ana ukwasi au maisha ya kawaida? Hapo hakuna Cha kuniambia mnaanza chini coz age mpo tofaut sana, kama mpunga au Mali zipo ukipata watoto ikiwa utaolewa naye hakikisha una mgao wa Mali kisheria na sio. Ahadi wakati wa kungonoka,
Kila la khery mama wa secretarybird ndege maake unajiita mama ndege
Lkn kumbuka wewe hamu ya tendo itakapotoweka kabisa (46), yeye atakuwa bado sana (69). Ushauri wangu kwako, kama hutaki mastress kwenye ndoa, olewa na huyo jamaa. Miaka 46 bado sana kwa mwanaume.Mh! atakuwa mzee wa ajabu sana
Ninaogopa huyu anaweza kunizaa kabisaJaribisheni kwanza tuone
Imagine mzee wangu, Dah mm mwanaume tuu Siwez kusex na mwanamke aliyenizidi sana umri mana ntamuonea kinyaa Ila wanawake 🙌Unamuogopesha kutizama poumbu lenye mvi
Olewa utulie uache umalayaNRNE
Huyu mbaba ni mtu mzima mwenye umri miaka 46, kaniambia nikikubali kuwa naye yupo tayari kunioa, mimi nina miaka 23 tu, je ni sahihi?
Kaniambia mtoto wake wa kwanza ana miaka 16, aliachana na mkewe sasa hivi anaishi mwenyewe.
Naombeni mawazo yenu wadau