Ana miaka 46 anataka kunioa, je hii ni sawa kwa umri wangu?

Ana miaka 46 anataka kunioa, je hii ni sawa kwa umri wangu?

NRNE

Huyu mbaba ni mtu mzima mwenye umri miaka 46, kaniambia nikikubali kuwa naye yupo tayari kunioa, mimi nina miaka 23 tu, je ni sahihi?

Kaniambia mtoto wake wa kwanza ana miaka 16, aliachana na mkewe sasa hivi anaishi mwenyewe.

Naombeni mawazo yenu wadau
Unampenda lakini?

Anakutomba vizuri? Basi olewa
 
Lkn kumbuka wewe hamu ya tendo itakapotoweka kabisa (46), yeye atakuwa bado sana (69). Ushauri wangu kwako, kama hutaki mastress kwenye ndoa, olewa na huyo jamaa. Miaka 46 bado sana kwa mwanaume.

Kajala ana miaka 43, ni mwanamke na anaonekana hivyo, imagine angelikiwa mwanaume?
Kajala anafanya mazoezi makali na mlo Wake ni wame hesabu hali hovyo hovyo, kazi anazo fanya hazmpi stress Za kutear and wear
 
Mkubalie tu,kwani kuna tatizo gani??,, Lkn ukiuliza sana humu utapotoshwa bure,na we umri unasonga mbele ujue!!!!!,, Na wa umri kama wako wengi ni balaa kimahusiano,hawafai kiviile!!!, Kwakuwa hawako tayari kuishi kindoa,kuwa mwangalifu dada kwa utulivu mkubwa.
Asante mkuu ngoja niangalie namna maana nahisi ndugu hawatamkubali
 
Yaani hata mwezi hana kanitongoza na kuniambia anataka kunioa muda wowote nikikubali
Kuwa makini hiyo ni red flag.

Mtu wa miaka 46 akutongoze kabla ya mwezi kisha akutangazie ndoa.

Take it slow..... ushari onjaneni kwanza vipi kama anakadude kama kipenseli ....
 
Najua unapenda likes na comments that is way unaandika uongo na kubadilisha I'd

Like nimekupa na comment ndo hii Enjoy ur day Nigga.
 
NRNE

Huyu mbaba ni mtu mzima mwenye umri miaka 46, kaniambia nikikubali kuwa naye yupo tayari kunioa, mimi nina miaka 23 tu, je ni sahihi?

Kaniambia mtoto wake wa kwanza ana miaka 16, aliachana na mkewe sasa hivi anaishi mwenyewe.

Naombeni mawazo yenu wadau
Tafuta kijana mwenzako nayeye atafute mzee mwenzake.

Vinginevyo ukipigwa juju na mkewe usianze kuja kulia. Hapa.

Hujui mkewe anaangalia nani kisababishi Cha yeye kuachika.
 
Tafuta kijana mwenzako nayeye atafute mzee mwenzake.

Vinginevyo ukipigwa juju na mkewe usianze kuja kulia. Hapa.

Hujui mkewe anaangalia nani kisababishi Cha yeye kuachika.
Mh! Mbona unanitisha sasa mkuu
 
Kuwa makini hiyo ni red flag.

Mtu wa miaka 46 akutongoze kabla ya mwezi kisha akutangazie ndoa.

Take it slow..... ushari onjaneni kwanza vipi kama anakadude kama kipenseli ....
Hata mimi nimeshangaa sana mkuu
 
Back
Top Bottom