Mangi Mlay
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 5,743
- 7,106
Kwa ulivyoisha tumika na maziwa kulala wacha tu akuoeNRNE
Huyu mbaba ni mtu mzima mwenye umri miaka 46, kaniambia nikikubali kuwa naye yupo tayari kunioa, mimi nina miaka 23 tu, je ni sahihi?
Kaniambia mtoto wake wa kwanza ana miaka 16, aliachana na mkewe sasa hivi anaishi mwenyewe.
Naombeni mawazo yenu wadau