mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,345
- 56,148
Kigoma au Ngara ndio pekee kumebaki wife materialKama hivyo sawa,. Sema uwaambie na wenzio ulikompata waende..
Kula maisha 🤝
Kigoma au Ngara ndio pekee kumebaki wife materialKama hivyo sawa,. Sema uwaambie na wenzio ulikompata waende..
Kula maisha 🤝
Mh kwani umeoa binti mdogo sawa na mwanao?Nina 48 mke wangu ana 18
Kama haiwezi kuingia kwenye hiyo tamu yako usikubali kuolewa naye.NRNE
Huyu mbaba ni mtu mzima mwenye umri miaka 46, kaniambia nikikubali kuwa naye yupo tayari kunioa, mimi nina miaka 23 tu, je ni sahihi?
Kaniambia mtoto wake wa kwanza ana miaka 16, aliachana na mkewe sasa hivi anaishi mwenyewe.
Naombeni mawazo yenu wadau
Wanawake wenye umri mkubwa wana stress hatariSubiri kwanza ukifika miaka 35 hutokuja kuuliza hapa, utakua na Majibu mwenyewe.
Ndiyo wakina nani tena hao mkuu?Hapo nenda taratibu, angekuwa mwana JF, ningekueleza mpeleke kwa shekhe kesho kabla wakina nyaku nyaku wa JF hawajamchukua
Ipi tena hiyo mkuu?Kama haiwezi kuingia kwenye hiyo tamu yako usikubali kuolewa naye.
Tuna test kama yaliyomo yamoRika lake hamtaki majukumu,. Mnataka kula na kuondoka
Nahisi ntakosa furaha kwa huu umri wake na akianza kuzeekaUnaolewa naye tu kwasababu unachotakiwa kujali zaidi ni ridhio la moyo na nafsi yako kwaajili ya furaha katika maisha yako
ni sawa mradi tu akutunze na awe anakupiga mpini wa sawasawaNRNE
Huyu mbaba ni mtu mzima mwenye umri miaka 46, kaniambia nikikubali kuwa naye yupo tayari kunioa, mimi nina miaka 23 tu, je ni sahihi?
Kaniambia mtoto wake wa kwanza ana miaka 16, aliachana na mkewe sasa hivi anaishi mwenyewe.
Naombeni mawazo yenu wadau
Utakosaje furaha wakati hakung'oi mashavu yako wala kongosho?Nahisi ntakosa furaha kwa huu umri wake na akianza kuzeeka
Achana na hiyo kituMambo ya ndoa ni mtambuka, tunaangalia factors nyingi sana before making commitment.
Tofauti na zamani waliamini watazeeka wote, Sasa hivi mnaangalia utanufaika na nini.
Kama unampenda olewa nae by the way yeye ndiyo Yuko kwende disadvantage kwasababu muda ambao wewe utakuwa high kwenye sex drive, yeye atakuwa ameshakinai.
Matokeo yake utachepuka na utamuua kwa presha.
Kuna siku itafika utaongozana na mbabu halafu utaona aibu kumtambulisha kwa marafiki zako.
Kifupi mambo ni mengi kwa upande wa jamaaa kuliko upande wako. Anajitaftoa presha zisizo maana.
Kwanza kabisa unatakiwa uchunguze kwa undani bila yeye kujua, kisa cha kuachana na mke wake wa kwanza. Hili ni muhimu sana ili na wewe usiishie mwisho mbaya.NRNE
Huyu mbaba ni mtu mzima mwenye umri miaka 46, kaniambia nikikubali kuwa naye yupo tayari kunioa, mimi nina miaka 23 tu, je ni sahihi?
Kaniambia mtoto wake wa kwanza ana miaka 16, aliachana na mkewe sasa hivi anaishi mwenyewe.
Naombeni mawazo yenu wadau
Asante mkuu nitafanya uchunguzi wa kina kabla ya kukubali au kukataaKwanza kabisa unatakiwa uchunguze kwa undani bila yeye kujua, kisa cha kuachana na mke wake wa kwanza. Hili ni muhimu sana ili na wewe usiishie mwisho mbaya.
Ukikuta ni sababu inayoeleweka, basi kabla ya kuoana inabidi muweke mambo sawa i.e. kuhusu mke wake wa kwanza na watoto na pia mali alizonazo.
Na mwisho, pengo la umri mimi sioni ni tatizo kabisa kama umempenda. Ili mradi uwe unaolewa kwa sababu ya mapenzi ya kweli na siyo ukimbizi wa kiuchumi kutokana na hali yako mbaya au kutamani mali alizonazo.
Hao vijana wanasumbua sana mkuuTafuta kijana mwenzako. Ukiolewa na yeye utakuja juta. maisha yote ya kwako yanaweza kuwa ya mateso maana uhuru wako utanyimwa kwa kuogopa utakuwa unachepuka.
Mwenye umri mdogoKwa nani sasa?
Mbona hatari sasaMwenye umri mdogo