Ana miaka 46 anataka kunioa, je hii ni sawa kwa umri wangu?

Ukibaki mjane utalia hadi unagalagala na kuongea kilugha??

Au utalia umevaa miwani nyeusi huku unajifuta na tissue.

Kama jibu ni la kwanza achana nae huyo ni mzee, kama jibu ni la pili olewa mdogo angu age is just a number.

binti kiziwi Atoto muongezeeni neno la kujenga.

Na kama amejipata, miamala yao huwa ni mikubwa mikubwa.

Anyways : Amezidiwa mbali sana kwahivyo akubali kuburuzwa sana hasa kwenye maamuzi. Mengine yote atalelewa kama mtoto 😅
 
Ukibaki mjane utalia hadi unagalagala na kuongea kilugha??

Au utalia umevaa miwani nyeusi huku unajifuta na tissue.

Kama jibu ni la kwanza achana nae huyo ni mzee, kama jibu ni la pili olewa mdogo angu age is just a number.

binti kiziwi Atoto muongezeeni neno la kujenga.
Kama ana pesa mbona 46 mtoto kabisa huyo! Ila kama ndio liwalo na liwe basi aachane na hizo laana.
 
Back
Top Bottom