MarianaTrench
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 1,212
- 941
He is not serious, mwanaume anaehitaji ushauri hawezi jibu hivyo, huyu kaleta mada apate comments.Watu wanakupa tahadhari we unajibu shombo, una akili wewe?
heshima kwako mkuu.Hakuna kitu kama hichi wala hakuna daktari anayeweza kukupa ushauri zero kama huu. Mgegedo wako hauwezi kufikia nyonga hata siku moja. Labda huyo ana hamu ya ngono tu wala si lingine. Mtafute daktari
pole shem naona mimba imekukimbilia, yaani umekua mpashaji khadija kopa anasubiri...
angalia usianze kula udongo na kudai maembe mabichi...
Hongera kwa kutovaa Condom na kuijaza dunia... kila la kheri.
Hatari sana!!Ni memba ndio, akiuona huu uzi we utayaona tu matusi yake..........
Hamna tofauti na hiyo mkuuNdio maana nikasema, tofauti na ugegedaji......... Ila akipatikana msaidizi poa tu maana hata yeye huku anasaidiwa.......Vilevile watalaamu wakisema kama kuna ukweli juu ya jambo, nitakuchagua ukanisaidie na wewe
Duh maneno haya yanatoka kwa mwanaume kweli au??
aUnajua vile wanaume wengi tunaogopa kufanya mapenzi na mjamzito kwa kuhofia mimba kuharibika na kuharibu kizazi, kutokana na nguvu na purukushani zinazotumika wakati wa kufanya mapenzi.
Ahsante bo adams, kwa maelezo yako nimepata cha kujifunza
Baadhi ya wanawake wanakuwa na kero na gubu kipindi cha ujauzito asitamani hata kumuona mume wake..kila kitu anakichukia na kila jema analofanyiwa ni baya kwake hadi kwenye vyakula pia anachagua.
Kwa wengine nimeshuhudia mara nyingi wanapokuwa wajawazito wanahitaji kuwa karibu sana na mwanaume aliempa ujauzito huo na kufanya nae mpnz mara kwa mara. Wana kuwa na hamu sana bila kujali ujauzito waliokuwa nao, anaweza kucheat bila kutegemea kutokana na hisia alizokuwa nazo, mwengine anakuambia ukweli (kabla/ baada ya kujifungua) kwamba mume wake anamuonelea huruma hali aliyokuwa nayo ingawa anahitaji mara kwa mara.
Katika ulimwengu huu wa ukweli na uwazi hayo mambo yapo kk