Ana mimba, anasema natakiwa nifanye nae mapenzi kila siku

Ana mimba, anasema natakiwa nifanye nae mapenzi kila siku

Mazoez mepesi....mfano kutembea....kufua ....yanasaidia sana Mkuu...
 
Unajua vile wanaume wengi tunaogopa kufanya mapenzi na mjamzito kwa kuhofia mimba kuharibika na kuharibu kizazi, kutokana na nguvu na purukushani zinazotumika wakati wa kufanya mapenzi.

Baadhi ya wanawake wanakuwa na kero na gubu kipindi cha ujauzito asitamani hata kumuona mume wake..kila kitu anakichukia na kila jema analofanyiwa ni baya kwake hadi kwenye vyakula pia anachagua.

Kwa wengine nimeshuhudia mara nyingi wanapokuwa wajawazito wanahitaji kuwa karibu sana na mwanaume aliempa ujauzito huo na kufanya nae mpnz mara kwa mara. Wana kuwa na hamu sana bila kujali ujauzito waliokuwa nao, anaweza kucheat bila kutegemea kutokana na hisia alizokuwa nazo, mwengine anakuambia ukweli (kabla/ baada ya kujifungua) kwamba mume wake anamuonelea huruma hali aliyokuwa nayo ingawa anahitaji mara kwa mara.

Katika ulimwengu huu wa ukweli na uwazi hayo mambo yapo kk
 
Hakuna kitu kama hichi wala hakuna daktari anayeweza kukupa ushauri zero kama huu. Mgegedo wako hauwezi kufikia nyonga hata siku moja. Labda huyo ana hamu ya ngono tu wala si lingine. Mtafute daktari
heshima kwako mkuu.

hata sijui watu wanachukulia kitu kiitwacho 'nyonga', hata kama nyonga ikamaanisha shingo ya kizazi (cervics) bado siyo rahisi kutumia uume ili kuongeza njia. kwa habari ya tendo la ndoa na mimba ipo nadharia kuwa tendo miez michache kabla ya kujifungua husaidia kurahisha njia kutanuka(cervical dilatation) na hii ni kwa sababu ya mbegu za kiume zina kemikali ya prostaglandins ambayo ni muhimu sana kwa suala zima la labour
 
pole shem naona mimba imekukimbilia, yaani umekua mpashaji khadija kopa anasubiri...
angalia usianze kula udongo na kudai maembe mabichi...
Hongera kwa kutovaa Condom na kuijaza dunia... kila la kheri.

Ha ha ha ha ha, raha ya pipi iliwe bila maganda jumlisha mate yako, utaipata ladha yake.........

Enendeni, ulimwenguni kote mkaijaze dunia
 
He is not serious, mwanaume anaehitaji ushauri hawezi jibu hivyo, huyu kaleta mada apate comments.

Jinsi we ulivyo sivyo walivyo watu wengine.....Unachowaza wewe sicho wanachowaza wengine...Polee
 
Mwanamke akiwa ana mimba kisayansi kila muda unatakiwa kumgegeda ili kutengeneza mazingira ya mtoto kutoka

Kwa hy, ndani ya saa 24, mnagegedana tu....... Hizo dushelele na papuchi zitakuwaje?
 
Ndio maana nikasema, tofauti na ugegedaji......... Ila akipatikana msaidizi poa tu maana hata yeye huku anasaidiwa.......Vilevile watalaamu wakisema kama kuna ukweli juu ya jambo, nitakuchagua ukanisaidie na wewe
Hamna tofauti na hiyo mkuu
 
Ni vizuri Kupanda Mazao ikisha Ukapalilia ili uvune vizuri!!
Mkuu Chukua Usafiri Haraka umfate Ukagegede Mzigo Full doze.
 
Duh maneno haya yanatoka kwa mwanaume kweli au??

Ndio maana ulifeli mtihani wako ule wa kipindi, kuleeeeee................

Badala utoe jibu au maoni juu ya jambo lililoulizwa, we unaanza kujitengenezea maswali yako......Watu wakuelewe vipi? Mi nilidhani umebadilika, kumbe bado upo kama zamani, pole we
 
Unajua vile wanaume wengi tunaogopa kufanya mapenzi na mjamzito kwa kuhofia mimba kuharibika na kuharibu kizazi, kutokana na nguvu na purukushani zinazotumika wakati wa kufanya mapenzi.

Ahsante bo adams, kwa maelezo yako nimepata cha kujifunza

Baadhi ya wanawake wanakuwa na kero na gubu kipindi cha ujauzito asitamani hata kumuona mume wake..kila kitu anakichukia na kila jema analofanyiwa ni baya kwake hadi kwenye vyakula pia anachagua.

Kwa wengine nimeshuhudia mara nyingi wanapokuwa wajawazito wanahitaji kuwa karibu sana na mwanaume aliempa ujauzito huo na kufanya nae mpnz mara kwa mara. Wana kuwa na hamu sana bila kujali ujauzito waliokuwa nao, anaweza kucheat bila kutegemea kutokana na hisia alizokuwa nazo, mwengine anakuambia ukweli (kabla/ baada ya kujifungua) kwamba mume wake anamuonelea huruma hali aliyokuwa nayo ingawa anahitaji mara kwa mara.

Katika ulimwengu huu wa ukweli na uwazi hayo mambo yapo kk
a
 
Ni vizuri Kupanda Mazao ikisha Ukapalilia ili uvune vizuri!!
Mkuu Chukua Usafiri Haraka umfate Ukagegede Mzigo Full doze.

Ha ha ha, ahsante king...Itabidi nijaze fomu za likizo bila malipo, ili nikagegede aisee
 
Back
Top Bottom