Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wenye juhud zao soon watakusaidiaHata kama kumis, ndio kumis gani huko? kila siku sasa.....? KAZI ZISIFANYIKE KISA MGEGEDO KILA SIKU?
Mwanamke akiwa ana mimba kisayansi kila muda unatakiwa kumgegeda ili kutengeneza mazingira ya mtoto kutoka
Haujajiuliza kwann inatokea operation kuzaa mtoto?mkuu ata ukiwa na kitu kikubwa vp, circumference ya mtoto ili atoke haiwezi tanuliwa ivo. yani huwezi tumia penseli kutoboa kitambaa ili kuandaa mazingira ya tikiti maji kupita.. Mungu alishaweka utaratibu wa kujifungua. its natural!
Pole wewe, mimi sipungukiwi kitu. Kama ulijua watu tuko tofauti usinge andika comment yako hivi maana ungeelewa tu huyu naye ni watofauti.Jinsi we ulivyo sivyo walivyo watu wengine.....Unachowaza wewe sicho wanachowaza wengine...Polee
Ndio maana nikasema, tofauti na ugegedaji......... Ila akipatikana msaidizi poa tu maana hata yeye huku anasaidiwa.......Vilevile watalaamu wakisema kama kuna ukweli juu ya jambo, nitakuchagua ukanisaidie na wewe
Pole wewe, mimi sipungukiwi kitu. Kama ulijua watu tuko tofauti usinge andika comment yako hivi maana ungeelewa tu huyu naye ni watofauti.
Ahsante na siku njema.
Aangalie pia aina ya misosi anayokula,asile sana vyakula vyenye protein, wanga na mafuta.Ni kweli,
Kuna shemeji yangu amejifungua kwa operation, sababu kubwa madaktari walimwambia hakuwa anafanya ile mambo mara kwa mara.
Asije akawa anataka kuhalalisha kungonoka huko aliko maana anajiona hana hedhi na hawezi shika mimba. Pia ana hamu ya ngono, so hakiki kauli zake kwanza.