Ana mimba, anasema natakiwa nifanye nae mapenzi kila siku

Ana mimba, anasema natakiwa nifanye nae mapenzi kila siku

Mwanamke akiwa ana mimba kisayansi kila muda unatakiwa kumgegeda ili kutengeneza mazingira ya mtoto kutoka

mkuu ata ukiwa na kitu kikubwa vp, circumference ya mtoto ili atoke haiwezi tanuliwa ivo. yani huwezi tumia penseli kutoboa kitambaa ili kuandaa mazingira ya tikiti maji kupita.. Mungu alishaweka utaratibu wa kujifungua. its natural!
 
Haujajiuliza kwann inatokea operation kuzaa mtoto?
 
Jinsi we ulivyo sivyo walivyo watu wengine.....Unachowaza wewe sicho wanachowaza wengine...Polee
Pole wewe, mimi sipungukiwi kitu. Kama ulijua watu tuko tofauti usinge andika comment yako hivi maana ungeelewa tu huyu naye ni watofauti.
Ahsante na siku njema.
 
Ndio maana nikasema, tofauti na ugegedaji......... Ila akipatikana msaidizi poa tu maana hata yeye huku anasaidiwa.......Vilevile watalaamu wakisema kama kuna ukweli juu ya jambo, nitakuchagua ukanisaidie na wewe

Hii comment yako imenifanya niupuuze huu uzi wako wote
 
Pole wewe, mimi sipungukiwi kitu. Kama ulijua watu tuko tofauti usinge andika comment yako hivi maana ungeelewa tu huyu naye ni watofauti.
Ahsante na siku njema.

Ha ha ha ha, ahsante sana.........
Mbona umeandika kwa uchungu sana?Niliandika vile ili kukufumbua macho, na upate uwezo wa kuangalia pande zote bila shida yeyote.

Tuachane na hayo turudi kwenye mada, ushauri wako ni muhimu sana kwangu, kwa maana wakati mwingine hata chizi anaweza akatoa busara...... Huu mchezo hauhitaji hasira.
 
nyonga ndogo ni maumbile;
kwani una nyundo ya kupasua mifupa; heee,
fanya kazi akitaka akufuate huko uliko; huyo ana hamu.
 
Hii comment yako imenifanya niupuuze huu uzi wako wote

Kalagabaho, hayo nayo ni mawazo pia....Ahsante kwa mchango wako...

Ila hata kama una shida , isiwe kigezo cha wewe kupewa ushauri utumbo, wakati unataka maini.......
 
Ni kweli,
Kuna shemeji yangu amejifungua kwa operation, sababu kubwa madaktari walimwambia hakuwa anafanya ile mambo mara kwa mara.
Aangalie pia aina ya misosi anayokula,asile sana vyakula vyenye protein, wanga na mafuta.
 
Asije akawa anataka kuhalalisha kungonoka huko aliko maana anajiona hana hedhi na hawezi shika mimba. Pia ana hamu ya ngono, so hakiki kauli zake kwanza.
 
Aangalie pia aina ya misosi anayokula,asile sana vyakula vyenye protein, wanga na mafuta.

Ahsante sana, nitaufanyia kazi ushauri wako........ Akijifungua nitaleta mrejesho humu humu
 
Asije akawa anataka kuhalalisha kungonoka huko aliko maana anajiona hana hedhi na hawezi shika mimba. Pia ana hamu ya ngono, so hakiki kauli zake kwanza.

Sawa sawa, ama kweli penye wengi hapakosi mengi..Hii ndio raha ya JF, nitazihakiki na kuzifanyia kazi pia, ubarikiwe sana
 
na mwanamke akiwa ana mimba huwa anapenda kugegedwa kila siku halafu anakuaga wa moto
 
Back
Top Bottom