jameszejie
Member
- Jun 26, 2016
- 17
- 3
[quote uid=317069 name="Adui Bandia" post=16574227]Watu wanakupa tahadhari we unajibu shombo, una akili wewe?[/QUOTE]<br /><br />Nimemjibu kwa kadri ya uhitaji wake, alianza na hoja shombo, akapata majibu shombo...Akuanzaye mmalizie, suala la akili waachie wataalamu.. Kwa kuwa hata nikikuuliza akili ni nini huwezi nipa jibu la moja kwa moja