Ana Mimba yangu ila nimebaini anani-cheat kirahisi sana

Ana Mimba yangu ila nimebaini anani-cheat kirahisi sana

Hiyo ni mimba yenu masela sio yako,usikute naye hajui nani aliweka, kaamua kukufanya mbusi wa kafara
Ata me naona anataka kuniingiza chaka maana itakuwa amekutana na vidume wengi kwa wakat mmoja hivyo hajui baba halisi na mm sitaki huo upuuzi tena

Nipo busy na maisha kwa sasa sitaki mpenzi tena
 
Mimba yako kivipi wakati ipo kwenye tumbo la mtu mwingine?
 
Hello Waungwana

Nilikuwa kwenye Mahusiano na binti mmoja hivi cheupe toka January mwaka huu

Tulianza date taratibu na mwisho penzi likakolea nikasema,sasa hapa nimefika na kamwe sitoweza kutoka. Ndani ya mwezi mmoja nikaanza kuona some features toka kwa huyu binti kuwa hanifai

Alikuwa hataki niguse sim yake, na nikigusa nakuta chatting za Mabwana zake na nikimuuuliza anasema uwa Ana-share simu na dada yake, kwahiyo hizo chatting ni za dada yake wala sio zake😭😭

June Mwaka huu akanipa taarifa kuwa amekwenda kupima na akaambiwa ni mjamzito na muhusika Mkuu wa huo ujauzito ni mimi

Nikirudi nyuma kidogo kabla ya tukio la Mimba,alinitafuta kuwa yako horny(Ana alosto ya ukuni🍆) nikamwambia nipo na stress so, tufanye siku nyingine Ila akakazana sana kuwa anataka tu aje walau tufanye kidogo, nikamruhusu akaja Ila one week later akanipa taarifa za ujauzito. Hapo nikahisi anataka kuniuzia mbuzi kwenye gunia Ila nikajifanya kukausha tu nione ataishia. Ndege mjanja hunaswa na tundu bovu

Juzi kuna mwanangu akanipa story kuwa huyo binti anayedai Ana mimba yangu amemuona anatoka kwa jamaa mwingine chumbani kwa huyo jamaa, kiufupi alilala nae mpaka asubuhi

Nilipofanya upelelezi nikagundua ni kweli wapo kwenye mahusiano Ila nilipomuuliza kwanza akagoma kuhusu kumfahamu huyo bwana ila nilipo mlazimisha akakiri kufahamiana nae ila uwa ni rafiki yake tu

Nimemwambia asinitafute tena na ata huyo mtoto ninahisi sio wangu hivyo atafute baba wa hiyo Mimba

Wanawake ni Pasua kichwa, kijana ukiona dalili za mwanzo kabisa kwa binti,jua kwamba huyo hakufai na hastahili kuwa nae kwenye safari za kimaisha
Kuhusu mtoto umechukua maamuzi ya haraka sana. Ungesubiri then upime kabisa, japokwua bibie haaminiki
 
kwa kweli wangetumia kinga au angemwaga nje yasingewakuta
Kinga ni bora kuliko kumwaga nje, hivi unajua mbegu za kiume ni zaidi ya mafuta ya kunawilisha ngozi kwa Wanawake?🤣🤣🤣
 
Nje kidogo ya mada ila nipo ndani kiasi..
Nauliza sio kwa ubaya, Hivi sasa hivi kwani ghalama za DNA ni shilingi ngapi. Je kwa hapa bongo ni hospitali gani wanafanya au hata hizi polyclinics nikienda wanani rekebishia mchongo.
 
Back
Top Bottom