Ana Mimba yangu ila nimebaini anani-cheat kirahisi sana

Ana Mimba yangu ila nimebaini anani-cheat kirahisi sana

Hello Waungwana

Nilikuwa kwenye Mahusiano na binti mmoja hivi cheupe toka January mwaka huu

Tulianza date taratibu na mwisho penzi likakolea nikasema,sasa hapa nimefika na kamwe sitoweza kutoka. Ndani ya mwezi mmoja nikaanza kuona some features toka kwa huyu binti kuwa hanifai

Alikuwa hataki niguse sim yake, na nikigusa nakuta chatting za Mabwana zake na nikimuuuliza anasema uwa Ana-share simu na dada yake, kwahiyo hizo chatting ni za dada yake wala sio zake[emoji24][emoji24]

June Mwaka huu akanipa taarifa kuwa amekwenda kupima na akaambiwa ni mjamzito na muhusika Mkuu wa huo ujauzito ni mimi

Nikirudi nyuma kidogo kabla ya tukio la Mimba,alinitafuta kuwa yako horny(Ana alosto ya ukuni[emoji533]) nikamwambia nipo na stress so, tufanye siku nyingine Ila akakazana sana kuwa anataka tu aje walau tufanye kidogo, nikamruhusu akaja Ila one week later akanipa taarifa za ujauzito. Hapo nikahisi anataka kuniuzia mbuzi kwenye gunia Ila nikajifanya kukausha tu nione ataishia. Ndege mjanja hunaswa na tundu bovu

Juzi kuna mwanangu akanipa story kuwa huyo binti anayedai Ana mimba yangu amemuona anatoka kwa jamaa mwingine chumbani kwa huyo jamaa, kiufupi alilala nae mpaka asubuhi

Nilipofanya upelelezi nikagundua ni kweli wapo kwenye mahusiano Ila nilipomuuliza kwanza akagoma kuhusu kumfahamu huyo bwana ila nilipo mlazimisha akakiri kufahamiana nae ila uwa ni rafiki yake tu

Nimemwambia asinitafute tena na ata huyo mtoto ninahisi sio wangu hivyo atafute baba wa hiyo Mimba

Wanawake ni Pasua kichwa, kijana ukiona dalili za mwanzo kabisa kwa binti,jua kwamba huyo hakufai na hastahili kuwa nae kwenye safari za kimaisha
Kwa miaka ya sasa kuanzisha familia ni swala la mbinde sana yaani mtiti kweli kweli.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Sirudii tena ule upuuzi,nimepiga block kila sehemu mpaka WhatsApp……..nimeamua kumrudia muumba🙏🏿
 
Ata me naona anataka kuniingiza chaka maana itakuwa amekutana na vidume wengi kwa wakat mmoja hivyo hajui baba halisi na mm sitaki huo upuuzi tena

Nipo busy na maisha kwa sasa sitaki mpenzi tena
Umewekeza muda na hisia kwa mtu asiye sahihi mkuu
 
Nje kidogo ya mada ila nipo ndani kiasi..
Nauliza sio kwa ubaya, Hivi sasa hivi kwani ghalama za DNA ni shilingi ngapi. Je kwa hapa bongo ni hospitali gani wanafanya au hata hizi polyclinics nikienda wanani rekebishia mchongo.
Pole sana mkuu, we lea tuu hao viumbe vya Mungu bila kujali baba n nani na watakuwa baraka kwako
 
Niliomba show ndani ya week hiyo toka nimtongoze na akakubali,alipokuja alikuwa ni binti ambaye mbususu yake inabana kabisa Yani Kama mtu ambae hajazoea mizagamuo

Ila mpaka sasa nimefaham itakuwa kuna kitu uwa anafanya
Wanawekaga malimau hao 😂😂😂 unaweza hisi bikra
 
Back
Top Bottom