Ana Mimba yangu ila nimebaini anani-cheat kirahisi sana

Nje kidogo ya mada ila nipo ndani kiasi..
Nauliza sio kwa ubaya, Hivi sasa hivi kwani ghalama za DNA ni shilingi ngapi. Je kwa hapa bongo ni hospitali gani wanafanya au hata hizi polyclinics nikienda wanani rekebishia mchongo.
kitanda hakizai haramu mkuu tulia tuu
 
Wee ulidhani hapa duniani kuna demu wako peke yako🤣🤣🤣🤣
 
Angekuchiti kigumu ingekuwa poa?
 
Simama huo uamuzi usirudi nyuma
 
Mtakufa na ubwege wenu horny horny,ulishindwa nini kustuka ukatumia hata condom?
 
na nikigusa nakuta chatting za Mabwana zake na nikimuuuliza anasema uwa Ana-share simu na dada yake, kwahiyo hizo chatting ni za dada yake wala sio zake
Ulimlea mwenyewe, ulianza kufuga ujinga hapa. Hapa ulipaswa uanze kujitoa kwake ila wewe ndio ukazidisha mahaba. Pole sana.
 
Vijana wengi wa sasa ni dhaifu sana, kama ulimla lea tu hiyo mimba, mwenye haki ya kuikataa ni ambaye hajamla tu
 
Nje kidogo ya mada ila nipo ndani kiasi..
Nauliza sio kwa ubaya, Hivi sasa hivi kwani ghalama za DNA ni shilingi ngapi. Je kwa hapa bongo ni hospitali gani wanafanya au hata hizi polyclinics nikienda wanani rekebishia mchongo.
DNA inafanywa na ofis ya mkemia mkuu wa serikali tuu
Tena kwa kibali cha mahakama
Usifikir kupima DNA Tanzania ni kama kupima malaria ina process ndefu na pesa inatakiwa maana kila hatua unalipia kupima DNA mtu mmoja laki moja
 

Kama amekusingizia mimba, huyo bidada anajua anakumudu. Hapo hutoki, utaruka ruka muda si mrefu utajikuta umetulia kwake kama familia.

Nimekaa paleee!
 
Kaeni na huyo demu wenu mchangie malezi kwakua wote mmemkunja
 
Wahusika wadogo wako wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…