Ana Mimba yangu, ila nimeoa na sitaki mtoto nje ya ndoa

Ana Mimba yangu, ila nimeoa na sitaki mtoto nje ya ndoa

Kiherehere chako pia usojituliza na mkeo.Alikubaka au alikulazimisha si ni makubaliano yenu wote wawili tena bila kinga.At the end ni mwili wake huwezi kumlazimisha kuua kiumbe kisicho na hatia!
We kenge Hebu nielewe ni hivi tulielezana kuwa tutakuwa tunaonjeshana kisela na isitoshe mi nilimuomba uch. yeye ananiongezea na mimba ambacho kitu sikukitaka.
 
kajiongeza mwenyewe na kiherehere chake cha kutaka kujipenyeza kwenye maisha YANGU kinguvu
Hapa.ndo napokuona immature.

Wajibika kwa makosa yako, alikubaka?
Alizikuta mbegu zako kwenye chupa ya Sayona akanywa?
Alikuta zinacheza ndombolo akacheza nazo?
Si ulimtongoz, si ulimtomba?
Utalea huyo mtoto.
Na mkeo akijua unalo vile vile.
 
Lea mtoto anaweza kuja magufuli wa baadae
Maisha YANGU sijayapanga kuinuliwa na mtoto nimejiwekea kutokuwa msumbufu kwa watoto wangu nina Armani zangu ambazo zitanifanya nisiwe mzigo kwa wanangu
 
Hapa.ndo napokuona immature.

Wajibika kwa makosa yako, alikubaka?
Alizikuta mbegu zako kwenye chupa ya Sayona akanywa?
Alikuta zinacheza ndombolo akacheza nazo?
Si ulimtongoz, si ulimtomba?
Utalea huyo mtoto.
Na mkeo akijua unalo vile vile.
Huyu hata hashauriki labda anataka kufurahisha jukwaa!
 
Maisha YANGU sijayapanga kuinuliwa na mtoto nimejiwekea kutokuwa msumbufu kwa watoto wangu nina Armani zangu ambazo zitanifanya nisiwe mzigo kwa wanangu
We ongeeaaaaa ila dogo atazaliwa.

Count them days.
Tukutane baada ya miaka 2, ukianza kupigiwa simu usiku.
Junior amegoma kulala anataka kukusikia.
Sheeeenzi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Kuna Mwalimu fulani anamfundisha mwanangu shule niliyomuhamishia baada ya Mimi kuhamishwa kikazi.

Ili kumfanya awe karibu na mwanangu nikawa nampa hela Mara kwa mara kumbe mwenzangu amevutiwa na mimi si tukafika point tukaanza kulana kichuri.

Kifupi amepata mimba ya mwezi mmoja na hataki kusikia habari ya kutoa, anadai alikuwa anahangaika kupata mimba na ananishukuru mimi kwa kumpa mimba. Mimi nimeoa wale Wanawake wanajiita wasomi yaani anapenda kazi kuliko mume na tunakaa mkoa tofauti tofauti kwa sababu ya kazi.

Mimi nimepanic Ilayeye ana furaha ya ajabu kiasi kwamba nikiona hivyo nazidi kupagawa. Anakataa hata kukutana na mimi, anajua naweza nnikamnyang'anya mimba yake.

KI UKWELI MI SITAKI KUZAA NAYE KWA SABABU NITAVURUGA NDOA YANGU.

Tusaidiane namna gani naweza kuukwepa huu mtego. Sitaki tena sitaki kuwa na mtoto wa nje
Kwa kiasi fulani umeanza kujustify hiyo mess yako,
1.Mkeo ni wale wasomi wanaopenda kazi kuliko ndoa
2.Mnakaa mikoa tofauti

Hivyo nadhani anza na kushughulikia hayo mawili kwanza kabla hujakumbana na ngoma
 
We ongeeaaaaa ila dogo alizaliwa.

Count them days.
Tukutane baada ya miaka 2, ukianza kupigiwa simu usiku.
Junior amegoma kulala anataka kukusikia.
Sheeeenzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
DAaa there you are hapa ndo sipataki. Nachokimbia ni vibawasiri kama means wako ulioutoa. Italeta stress and unrest za kijinga kwenye maisha yangu
 
DAaa there you are hapa ndo sipataki. Nachokimbia ni vibawasiri kama means wako ulioutoa. Italeta stress and unrest za kijinga kwenye maisha yangu
Haya ilibidi tu uyawaze mwanzo.
By fucking a woman, much worse bila kinga.
Buddy manake uko tayari kwa lolote.
Vinginevyo ulitakiwa kutuliza kende.
Au kama vipi kuchukua necessary measures
 
Na kumbe mlidiscuss?
Na mkakubaliana msitumie kinga?

Kama ulikuwa radhi akupe magonjwa, kwann unang'aka kwa mimba.

Baba unalo
Kwenye magonjwa haswa HIV mimi tangu niwe na kipato changu sili demu mpaka tupime hutaki sepa. Ni hivi huyu Alikuwa ananimendea ili nizame anibebe mimba kuna nia anayo na alishawahi ongelea kubwa ni kwamba kajua mke wangu hana time na kuhusu kunihudumia kaona hii ni fursa kwake kufanya jaribio la kuokota NDOA
 
Haya ilibidi tu uyawaze mwanzo.
By fucking a woman, much worse bila kinga.
Buddy manake uko tayari kwa lolote.
Vinginevyo ulitakiwa kutuliza kende.
Au kama vipi kuchukua necessary measures
Kondom najijuaga sipendi kutumia huwa natumia first round tu nyingine siwezagi. ZINABANA DUSHERERE
 
Mkuu kuna kitu inaitwa ndom uliwahi kuisikia!? Another single MAZA!

Kuna Mwalimu fulani anamfundisha mwanangu shule niliyomuhamishia baada ya Mimi kuhamishwa kikazi.

Ili kumfanya awe karibu na mwanangu nikawa nampa hela Mara kwa mara kumbe mwenzangu amevutiwa na mimi si tukafika point tukaanza kulana kichuri.

Kifupi amepata mimba ya mwezi mmoja na hataki kusikia habari ya kutoa, anadai alikuwa anahangaika kupata mimba na ananishukuru mimi kwa kumpa mimba. Mimi nimeoa wale Wanawake wanajiita wasomi yaani anapenda kazi kuliko mume na tunakaa mkoa tofauti tofauti kwa sababu ya kazi.

Mimi nimepanic Ilayeye ana furaha ya ajabu kiasi kwamba nikiona hivyo nazidi kupagawa. Anakataa hata kukutana na mimi, anajua naweza nnikamnyang'anya mimba yake.

KI UKWELI MI SITAKI KUZAA NAYE KWA SABABU NITAVURUGA NDOA YANGU.

Tusaidiane namna gani naweza kuukwepa huu mtego. Sitaki tena sitaki kuwa na mtoto wa nje
 
nachukua hii. Jamani niwaambieni kitu ubongo wangu kuwa na mtoto wa nje umegoma. Yaani kichwani mwangu kuna mawili tu. 1.Akizaa mtoto simtambui wala sitamtafuta na napiganisha nihame 2.Kuitoa mimba for any means ina mwezi mmoja tu coz alitakiwa aingie period tarehe 3. July
Hio njia niliokupa ndio nzuri sasa inatoka yenyewe bila kupenda kwakua ni ya mwezi mmoja

Au pia unaweza muahidi kiasi cha ela cha uongo mfano ukiitoa nakupa 1M .unamchukua unampa nusu kama advance unamsimamia huku.akiingiza VIDONGE hivyo kwenye.punani mpka uone vifanye kazi.kwa kuanza kutoa uchafu halafu advance humalizii unampiga chenga

Njia nyengine pia mtishie mwambie sikujui.nahama nchi mtoto utalea mwenyewe bora utoe na hapo unawapanga washkaji zako wawili au watatu wajifanye ndugu zako wawili wamwambie wamsagie maneno wamwambie hawataki haramu kwenye ukoo mwengine a act anamshauri atoe lazima aingie kati

Njia ni nyingi mzee baba endelea na hizo

Mi.nilipambana ji shangingi.la mjini.mpka likatoa mimba yangu maana liliona kwangu ameupatia
 
kwenye magonjwa haswa HIV mimi tangu niwe na kipato changu sili demu mpaka tupime hutaki sepa. Ni hivi huyu Alikuwa ananimendea ili nizame anibebe mimba kuna nia anayo na alishawahi ongelea kubwa ni kwamba kajua mke wangu hana time na kuhusu kunihudumia kaona hii ni fursa kwake kufanya jaribio la kuokota NDOA
We jieleeeeezeee
Na uliyasema yote hayo ya nn?
Na aliyekwambia mkishapima basi ndo hampati tena ngoja nani?
Yani kifupi.
Umepuyanga.
 
Back
Top Bottom