Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,588
- 22,752
- Thread starter
- #141
NIkuambie tu ukweli kinachonitisha ni kuwa mke wangu akianza malipizi na ule umbali tutapoteana kama familiaMzee baba hapa inavyoonekana mkeo ndo kila kitu yaani kifupi ww ni Marioo kwake.. sasa uoga wako Ni huu msala utakuharibia kwa mkeo[emoji28][emoji28]