Ana Mimba yangu, ila nimeoa na sitaki mtoto nje ya ndoa

Kwa kiasi fulani umeanza kujustify hiyo mess yako,
1.Mkeo ni wale wasomi wanaopenda kazi kuliko ndoa
2.Mnakaa mikoa tofauti

Hivyo nadhani anza na kushughulikia hayo mawili kwanza kabla hujakumbana na ngoma
Umri wangu sio wa kusema sitaki mbunye tena nikiwa na nyege nakuwa na hasira Sana tunalumbana kijinga hivyo ikanibidi nitafute kipozeo na mimi huwa napenda kuwa na mchepuko mmoja nakuwa najitahidi kuhudumia nilimtoa kwenye chumba na sebule nikampangishia nyumba mzima ya vyumba vitatu yenye fensi ili nikizama na gari watu wasinichore yeye katafsiri akinizalia naweza mnunulia hata bombardier 2 hapa ndo naona kosa langu na hajui ndo anaenda kunikosa jumla
 
Unakufuru kiongozi, yaani unataka uuwe kiumbe kinachotayarishwa na Mungu kuja duniani. Unapaswa kujiuliza wewe ni nani. Unaeweza kuingilia Mipango ya Mungu kugharibi anachokileta duniani. Huyu baby anaekuja ana nafasi yake hujui atakuwa na atakuja na nini.

TAFAKARI.... CHUKUA HATUA

Sent from my SM-G5510 using JamiiForums mobile app
 
Wakat unampa pesa ulikuwa una target cz ulikwisha kujua unacho hitaji,,, ungeweza hata mkabidhi mwanao kwa mwalimu wa kiume[emoji3][emoji3]. Banjuka na mzaz mwenzio
 
za siku ndugu YANGU sikunyingi hatujaonana tangu upepo wa siasa ubadilike
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kwamba BAK anaweza kukuelewa tu vile ni ndugu yako wa siku nyingi.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Yani sijui kwann nacheka.
 
Nipo Mkuu naona wewe umepotea humu labda sababu ni kubadili makazi na kuwa busy na huyo Teacher.😂😂😂
Ukoooje, mpe mwenzio moyo.
😂😂😂😂😂😂
 
Reactions: BAK
Nipo Mkuu naona wewe umepotea humu labda sababu ni kubadili makazi na kuwa busy na huyo Teacher.[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] nilikuwa bize kurudisha hela nilizoficha nje ya nchi baada ya mama kuruhusu acc kutodukuliwa na ku fleeziwa
 
Si umefurahi mimi kunaswa
 

Unatakiwa umtunze mwanamke akibeba mimba na kuamua kukuzalia muheshimu jamani na mshukuru watu wanatafuta watoto hawapatii
 
2021 still watu wanakula kavu kavu wanawake wa kuokoteza kitaani.

Vaeni KONDOMU.

Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…