Ana Mimba yangu, ila nimeoa na sitaki mtoto nje ya ndoa

Ana Mimba yangu, ila nimeoa na sitaki mtoto nje ya ndoa

Mama yakr kukuomba pesa anakosea kabisa hiyo tabia piga mkwara
yan natamani hadi kukimbia halafu ana akili fyatu , nahofu anaweza kuja tafuta mama yangu au ndugu zangu. hivyo akipiga simu nasababisha miamala ingawa na hofu sana sana coz simpendi kabisa. ila yeye kashaona fursa yani, hat hivyo na mwanamke tofauti na huyu amaenivumilia zaid ya miaka kumi toka nipo o level, na nafuture naye kabisa ya kumuoa na ni mwanamke naogopa kumpoteza yani coz kajitoa sana kwa kila hali hadi leo na anajulikana nyumbani. naumia sina jinsi tyu
Mama yakr kukuomba pesa anakosea kabisa hiyo tabia piga mkwara
 
Sitaki Nataka, mguu nje mguu ndani, laana nyingine tunazitafuta wenyewe.
LEA!!!
 
Daaa mwanangu na wewe kumbe kuna sebene unacheza huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
dah mwanangu acha tu, bora wakwako mimi nachunwa balaa ingawa demu anafanya kazi ila kila saa et mtoto anataka maji ya kilimanjaro , mara pepsi, mala mapapai mala sijui vitu gani yani hapo nimempangishia na kumwekea vitu na kifurushi cha azam, eti mtoto anataka movie ,hata saa nne usiku kifurushi kikiisha ntapigiwa simu. kinachoniuma si kuhudumia kinachoniuma natupa hela wakati sina malengo naye, nasubiri ajifunguie nimwambie jihudumie sasa mm nimeshachoka
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila ngoja niwe mkweli tu aisee nimegundua mbunye nyingi nyeupe zinavutia sana. Kwa hiyo simshangai lol!
umeona eee
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kuna wanaume huchepuka kwa ndomu au kumwaga nje ulikwama wapi, hongera kwa kukaribisha janga litakutesa Hadi uzeeni na mkeo anaweza kukuacha
 
Kuna wanaume huchepuka kwa ndomu au kumwaga nje ulikwama wapi, hongera kwa kukaribisha janga litakutesa Hadi uzeeni na mkeo anaweza kukuacha
Sio kila mwanaume ana uwezo wa kupangua gia (gear )wengine uwezo wetu likija bao basi ndo unakandamiza hivyo vigezo vyako havitufai.Kwanza fikra zinahama waja kukumbuka waqt anakwambia ahsante baby wajistukia kumbe umeuza mechi umeloweka.
 
Haaa haaa haa kwahiyo kapata chaka la kujihifadhi na ndiyo upo mbali na mkeo anachukua nafasi taratibu, atamwambia nitaelea mwenyewe asubili mtoto azaliwe atamwambia nitambulishe kwa ndugu tayari mke wa pili

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Wanacheza sana offside trick (trap)kama enzi za philip inzaghi mpaka sir Alex furguson akatania kuwa inzaghi alizaliwa kwenye offside position.
 
Mkuu pole kuoa mwanamke anayependa kazi kuliko ndoa na familia. Ona sasa katika kujaribu kutafuta ukaribu na mtoto kupitia mwalimu mkafikia uko kusikojulikana.
Mwaka fulani aunt yangu aliwahi teuliwa uafisa elimu wa wilaya akaukataa kisa wilaya iko mbali sana na familia yake. Sema ni mshikadini kiasi kwamba akifunga kuhusu wewe baada ya kama wiki anakupa idadi kamili ya mimba ulizowahi toa au kukataa, hatishi ila anaogopesha na huwa namuhurumia mme wake.
Mme mwenyewe uwe unamwelewa, unakataa kwenda kufanya kazi wakati maisha yanakuchakata balaa na hakujali kivile hiyo kazi utaiacha? Kuna wanaume ukiawategemea kwa kila kitu wanamasimango hakuna mfano, kama kamkuta anafanya kazi afanye tu.

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Hapo hakuna namna boss. Mkeka wake aliuweka vizuri hapo ni kutulia
Na maisha haya kuna leo na kesho hivyo mfahamishe mkeo hili
 
Kuna Mwalimu fulani anamfundisha mwanangu shule niliyomuhamishia baada ya Mimi kuhamishwa kikazi.

Ili kumfanya awe karibu na mwanangu nikawa nampa hela Mara kwa mara kumbe mwenzangu amevutiwa na mimi si tukafika point tukaanza kulana kichuri.

Kifupi amepata mimba ya mwezi mmoja na hataki kusikia habari ya kutoa, anadai alikuwa anahangaika kupata mimba na ananishukuru mimi kwa kumpa mimba. Mimi nimeoa wale Wanawake wanajiita wasomi yaani anapenda kazi kuliko mume na tunakaa mkoa tofauti tofauti kwa sababu ya kazi.

Mimi nimepanic Ilayeye ana furaha ya ajabu kiasi kwamba nikiona hivyo nazidi kupagawa. Anakataa hata kukutana na mimi, anajua naweza nnikamnyang'anya mimba yake.

KI UKWELI MI SITAKI KUZAA NAYE KWA SABABU NITAVURUGA NDOA YANGU.

Tusaidiane namna gani naweza kuukwepa huu mtego. Sitaki tena sitaki kuwa na mtoto wa nje

Ulitakiwa uulize kabla ujamla! Anaenda kukuharibia ndoa huyo
 
Back
Top Bottom