Ana Mimba yangu, ila nimeoa na sitaki mtoto nje ya ndoa

dah, mimi kuna binti sina mpango naye na alijua kabisa, siku hiyo kaja kanilazimisha nile papuchi balaa, sipendagi kula papuchi kwangu , na sikuwa na hamu kivile kanilazimisha sana . mwisho nikaenda guest nikiala akasema tena nitatumia dawa nataka kavu dah kidume nikala, kumbe kanitegea bhn, kapata mimba hataki kutoa tumegombana kwa mara ya kwanza nikajikuta natoa tusi, siyo desturi na kawaida kwangu, nikawa sina jinsi, mwezi wa saba huu, na anaomba hela balaa yani anaboa kweli
Safi sana oa kabisa

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Kuna Mwalimu fulani anamfundisha mwanangu shule niliyomuhamishia baada ya Mimi kuhamishwa kikazi.

Ili kumfanya awe karibu na mwanangu nikawa nampa hela Mara kwa mara kumbe mwenzangu amevutiwa na mimi si tukafika point tukaanza kulana kichuri.

Kifupi amepata mimba ya mwezi mmoja na hataki kusikia habari ya kutoa, anadai alikuwa anahangaika kupata mimba na ananishukuru mimi kwa kumpa mimba. Mimi nimeoa wale Wanawake wanajiita wasomi yaani anapenda kazi kuliko mume na tunakaa mkoa tofauti tofauti kwa sababu ya kazi.

Mimi nimepanic Ilayeye ana furaha ya ajabu kiasi kwamba nikiona hivyo nazidi kupagawa. Anakataa hata kukutana na mimi, anajua naweza nnikamnyang'anya mimba yake.

KI UKWELI MI SITAKI KUZAA NAYE KWA SABABU NITAVURUGA NDOA YANGU.

Tusaidiane namna gani naweza kuukwepa huu mtego. Sitaki tena sitaki kuwa na mtoto wa nje
Mtoto ni mtoto tu,sa ingine nawewe ulizaliwa nje ya ndoa ila unataka kumkataa huyo malaika!Acha ujuha
 
Haaa haaa haa kwahiyo kapata chaka la kujihifadhi na ndiyo upo mbali na mkeo anachukua nafasi taratibu, atamwambia nitaelea mwenyewe asubili mtoto azaliwe atamwambia nitambulishe kwa ndugu tayari mke wa pili

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Wanajua kuji position kama kamati za mwenge lazima ukaupokelee nje ya mkoa au wilaya yako kama mafala vile kumbe unaliwa timing ukiyakanyaga imekula pande yako
 
Sio kila mwanaume ana uwezo wa kupangua gia (gear )wengine uwezo wetu likija bao basi ndo unakandamiza hivyo vigezo vyako havitufai.Kwanzs fikra zinahama waja kukumhuka waqt anakwambia ahsante baby wajistukia kumbe umeuza mechi umeloweka.
Kumwaga nje ni sawa na Daladala liwe kwenye speed 100 halafu Konda anakwambia ushuke kwa kuruka bila basi kusimama.
🤣🤣
 
Comment zote nimezisoma naona sishauriwi kama Uzi unavyosema Ila nimepanga kumpetipet Ila anipe mzigo kulalake namuingizia Misoprosal 3 kwenye mbunye huyu kazugika na Gari na maisha niliyonayo amejitoa mhanga kwa mwanae yeye kakata Tamaa ya kuolewa kaona awakeze kwangu kwa sababu ambazo Nazijua mimi ambazo nikizitaja mtahisi nimekuwa Kiduku lilo
Makubwa haya jamani, mara umeshakuwa kunguru wa mjini ? [emoji3]

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Pole Sana mkuu,
Kwenye Tasnia yetu kule tunaitaga DRAW NO BET[emoji23]

Kuna kipind almanusra niingie kwny mkenge Kama wewe[emoji85]
Team 1 to win with Cleansheet - NO ..... Mkeka umetiki hapo 😂😂😂
 
Kuna Mwalimu fulani anamfundisha mwanangu shule niliyomuhamishia baada ya Mimi kuhamishwa kikazi.

Ili kumfanya awe karibu na mwanangu nikawa nampa hela Mara kwa mara kumbe mwenzangu amevutiwa na mimi si tukafika point tukaanza kulana kichuri.

Kifupi amepata mimba ya mwezi mmoja na hataki kusikia habari ya kutoa, anadai alikuwa anahangaika kupata mimba na ananishukuru mimi kwa kumpa mimba. Mimi nimeoa wale Wanawake wanajiita wasomi yaani anapenda kazi kuliko mume na tunakaa mkoa tofauti tofauti kwa sababu ya kazi.

Mimi nimepanic Ilayeye ana furaha ya ajabu kiasi kwamba nikiona hivyo nazidi kupagawa. Anakataa hata kukutana na mimi, anajua naweza nnikamnyang'anya mimba yake.

KI UKWELI MI SITAKI KUZAA NAYE KWA SABABU NITAVURUGA NDOA YANGU.

Tusaidiane namna gani naweza kuukwepa huu mtego. Sitaki tena sitaki kuwa na mtoto wa nje
Angalia usivunje Amri Kuu ya Sita.
Kufanya vyovyote kuitoa ni kuua, hivyo utavunja mojawapo miongoni mwa amri kuu za Mungu.
 
Jamuhuri ya Bibi yako we mtu anategesha mimba kwa maslahi yake hajiulizi mtoto ataishije. SITAKI KULETA MTOTO THEN NIWE NAMFICHA KAMA GONIA LA BANGI
Ndio atakuja maana mama kaamua aje
 
ninekuambia sijapanga KUZAA nje NITAVURUGA familia imegoma kuniingia akilini potelea pote na mpunga usiote hata kama hilo Toto litakuwa Diamond au Harmonize nitalikana mwanzo mwisho kwa sababu sijaplan huu ujinga
Utakuwa fara wa kwanza kukataa vinasaba vyako ndani ya damu ya mtoto
 
Kwa hiyo Baba Junior , tunataka tamko la mwisho sisi mashangazi.

Mi na na Dina kwa niaba ya malegendary wa MMU na jukwaa letu lile.

Tunataka tamko la kufungia thread.
 
Kuna Mwalimu fulani anamfundisha mwanangu shule niliyomuhamishia baada ya Mimi kuhamishwa kikazi.

Ili kumfanya awe karibu na mwanangu nikawa nampa hela Mara kwa mara kumbe mwenzangu amevutiwa na mimi si tukafika point tukaanza kulana kichuri.

Kifupi amepata mimba ya mwezi mmoja na hataki kusikia habari ya kutoa, anadai alikuwa anahangaika kupata mimba na ananishukuru mimi kwa kumpa mimba. Mimi nimeoa wale Wanawake wanajiita wasomi yaani anapenda kazi kuliko mume na tunakaa mkoa tofauti tofauti kwa sababu ya kazi.

Mimi nimepanic Ilayeye ana furaha ya ajabu kiasi kwamba nikiona hivyo nazidi kupagawa. Anakataa hata kukutana na mimi, anajua naweza nnikamnyang'anya mimba yake.

KI UKWELI MI SITAKI KUZAA NAYE KWA SABABU NITAVURUGA NDOA YANGU.

Tusaidiane namna gani naweza kuukwepa huu mtego. Sitaki tena sitaki kuwa na mtoto wa nje
Subiria mtoto azaliwe ukamkanyage afe ili ukafungwe ukaozee segerea. Wakati unamtomba hukushirikisha hapa jukwaani sahizi unataka watu wakushauri jinsi ya kumuua huyu kiumbe asie na hatia. Subiria azaliwe Kwanza

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Kuna Mwalimu fulani anamfundisha mwanangu shule niliyomuhamishia baada ya Mimi kuhamishwa kikazi.

Ili kumfanya awe karibu na mwanangu nikawa nampa hela Mara kwa mara kumbe mwenzangu amevutiwa na mimi si tukafika point tukaanza kulana kichuri.

Kifupi amepata mimba ya mwezi mmoja na hataki kusikia habari ya kutoa, anadai alikuwa anahangaika kupata mimba na ananishukuru mimi kwa kumpa mimba. Mimi nimeoa wale Wanawake wanajiita wasomi yaani anapenda kazi kuliko mume na tunakaa mkoa tofauti tofauti kwa sababu ya kazi.

Mimi nimepanic Ilayeye ana furaha ya ajabu kiasi kwamba nikiona hivyo nazidi kupagawa. Anakataa hata kukutana na mimi, anajua naweza nnikamnyang'anya mimba yake.

KI UKWELI MI SITAKI KUZAA NAYE KWA SABABU NITAVURUGA NDOA YANGU.

Tusaidiane namna gani naweza kuukwepa huu mtego. Sitaki tena sitaki kuwa na mtoto wa nje
Kweli wewe jamaa ni mjeda (Janjaweed, Al Shabaab, Boko Haram), unatembea na demu wa kibongo bila kinga tena na umeoa? Anyways vuna mavuno yako kwani mbegu umepanda mwenyewe.
 
We ongeeaaaaa ila dogo atazaliwa.

Count them days.
Tukutane baada ya miaka 2, ukianza kupigiwa simu usiku.
Junior amegoma kulala anataka kukusikia.
Sheeeenzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnfuuuuu

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
kwenye magonjwa haswa HIV mimi tangu niwe na kipato changu sili demu mpaka tupime hutaki sepa. Ni hivi huyu Alikuwa ananimendea ili nizame anibebe mimba kuna nia anayo na alishawahi ongelea kubwa ni kwamba kajua mke wangu hana time na kuhusu kunihudumia kaona hii ni fursa kwake kufanya jaribio la kuokota NDOA
Ndiyo kaiokota hiyo NDOA [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Back
Top Bottom