Ana Mimba yangu, ila nimeoa na sitaki mtoto nje ya ndoa

yani sioi kwanza nina mtu tayari ni kama amejilengesha coz anajuaga simpendagi so ametumia fursa, nikisema nisihudumie najikuta napata huruma ya damu yangu hata natamani ajifungue nichukue mtoto . mama ake si mama mkwe wangu niweke sawa, anapiga simu mno.
Pole sana, sasa huwa mnawatongoza wanini kama hujampenda? Ngoja nikwambie kama anajua humpendi huko aliko anahangaika kweli ili uelekee

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Mimi napenda wanaume makini Bora achepuke tu ila kuzaa zaa nje ni lack of self control nakukaribisha ugomvi na watoto wa nje. Nawaheshimu wanaume wasiotaka kuzaa hovyo na Wana ji control
Huleta ugomvi kwenye familia, pia huyo anapata matatizo asiyo stahili anakuwa na hatia isiyo muhusu

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Mimi napenda wanaume makini Bora achepuke tu ila kuzaa zaa nje ni lack of self control nakukaribisha ugomvi na watoto wa nje. Nawaheshimu wanaume wasiotaka kuzaa hovyo na Wana ji control
Bibie mwanzo mwa jambo ndo hilo la kuchepuka ambalo mwisho wake ni mimba ninaweza kufika huko na kukutana na style mujarrabu kama sakayonsa mbuzi kagoma kwenda au siku hizi mwaita kuchuma tembele amabazo zimeboreshwa kukutana nimeuza band (bendi )wajikuta ahadi kama za mwanatanu zinayeyuka kama barafu ni ngumu kwetu kutokana na tamaa zetu za asili ila salama niombee nisichepuke jamani pana wadada Wana makusudi na kupenda sifa kiuno kama fan (feni )mbovu khatari sana.
 
niheshimu na mimi basi
 
Hii kuzaa hovyo hutesa watoto zaidi hasa malezi jinsi wababa huforce kuwanyang'anya watoto mama zao, matokeo mtoto anateseka kisa zinaa
Akienda kuchanganywa nyumbani usiombe, matokeo yake anaenda kulelewa kwa babu mara shangazi ujinga tu, ila mie siwezi kulea mtoto aliyezaliwa Mimi tayari ni mke wakamlee huko huko walikomtafutia

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Bibie mwanzo mwa jambo ndo hilo la kuchepuka ambalo mwisho wake ni mimba ninaweza kufika huko na kukutana na style mujarrabu kama sakayonsa mbuzi kagoma kwenda au siku hizi mwaita kuchuma tembele amabazo zimeboreshwa kukutana nimeuza band (bendi )wajikuta ahadi kama za mwanatanu zinayeyuka kama barafu ni ngumu kwetu kutokana na tamaa zetu za asili ila salama niombee nisichepuke jamani pana wadada Wana makusudi na kupenda sifa kiuno kama fan (feni )mbovu khatari sana.
Usisingizie tamaa mara style aisee matokeo ni kutesa watoto, Mimi mtoto hata awe Ana fanya namna gani akili huwa kumkichwa hii zaa bila mpango kisa umepewa style ni uzembe, mbona wazungu hawazai hovyo. Tuache uzembe ona ka mleta mada Sasa anajuta for the rest of his life linapokuja swala la kuleta mtoto sio style, hafu licha ya style una risk the whole family mkifa na ngoma. Mtu anayezaa hovyo hajielewi.
 
Akienda kuchanganywa nyumbani usiombe, matokeo yake anaenda kulelewa kwa babu mara shangazi ujinga tu, ila mie siwezi kulea mtoto aliyezaliwa Mimi tayari ni mke wakamlee huko huko walikomtafutia

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Na sikuhizi walezi hamna kutesa mtoto tu. Mimi kulelea mtoto wa uzinzi wa mwanaume sijichoshi aisee Bora nikimbizane na kutafta Hela, hafu najua siwezi ku balance upendo
 
(Dah) !! Nini sasa we jamaa mbona unatutia aibu hapa wanaume wenzio? Ulivyokuwa unamwaga shahawa zako ulijua zinaenda kutengeneza almasi huko tumboni kwa mwanamke?

Lea mimba baadaye ulee huyo mtoto tena kwa mapenzi yote yaani, [emoji19][emoji19]shubamit!!
 
Na sikuhizi walezi hamna kutesa mtoto tu. Mimi kulelea mtoto wa uzinzi wa mwanaume sijichoshi aisee Bora nikimbizane na kutafta Hela, hafu najua siwezi ku balance upendo
Yaani mimi lipo wazi silei mimi,.labda kama nimemkuta na awe alikuwa naye sio eti naolewa naanza kuletewa majukumu shabashi weee awe mkubwa ajihudumie mwenyewe chakula sina shida atakula tu si vinginevyo.

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Mi hukutana na wanaume wenye akili bana Mambo ya kutegesheana hamna, hafu Bora kuwa na mchepuko usio na njaa nyingi.
Nilijibugi ni kumuambia kuwa mke wangu hana time na mimi jumlisha na vi huduma yeye akaona khaa hapa nikijitahidi na we za okota NDOA ngoja nitengeneze ndoano ya NDOA akabuni ni mimba.
 
Unaanzaje kutoa siri nyumba (NDOA ) kwa mchepuko uliyekutana naye bila kutarajia? Wanaume mnahatari sana siku moja tu umefumpula yote kwa hawara? Lako hilo angalia tu usijitoe roho ukawachia maumivu watoto wako

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Usisingizie tamaa mara style aisee matokeo ni kutesa watoto, Mimi mtoto hata awe Ana fanya namna gani akili huwa kumkichwa hii zaa bila mpango kisa umepewa style ni uzembe, mbona wazungu hawazai hovyo. Tuache uzembe ona ka mleta mada Sasa anajuta for the rest of his life linapokuja swala la kuleta mtoto sio style, hafu licha ya style una risk the whole family mkifa na ngoma. Mtu anayezaa hovyo hajielewi.
Nakuelewa na wala sijajificha penye mitindo uliandika bora mumeo achepuke kuliko kuzaa ndo nikatoa mfano huo kuwa tukichepuka tunanogewa jamani (wajameni )kama hujawahi kula kwa jirani basi utamuona bimkubwa wako ni mpishi mzuri Sasa ukionja kwa jirani inakuwa dharma mwisho mtuombee na mtuzoee tamaa na kupenda kuonjaonja ni ndugu yetu wa damu
 
Back
Top Bottom