Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 1,384
- 2,880
kaza taya za meno izo wewe siumejifanya zipu haifungi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni dhaifu Sana utateseka hapa Dunia niwao sawa ila mimba miezi saba sasa , nahofu tu na mwanangu
SanaKuzaa hovyo humtesa mtoto kiakili na kisaikolojia Bado migogoro na familia ya mke doh.
Pole sana, sasa huwa mnawatongoza wanini kama hujampenda? Ngoja nikwambie kama anajua humpendi huko aliko anahangaika kweli ili uelekeeyani sioi kwanza nina mtu tayari ni kama amejilengesha coz anajuaga simpendagi so ametumia fursa, nikisema nisihudumie najikuta napata huruma ya damu yangu hata natamani ajifungue nichukue mtoto . mama ake si mama mkwe wangu niweke sawa, anapiga simu mno.
Huleta ugomvi kwenye familia, pia huyo anapata matatizo asiyo stahili anakuwa na hatia isiyo muhusuMimi napenda wanaume makini Bora achepuke tu ila kuzaa zaa nje ni lack of self control nakukaribisha ugomvi na watoto wa nje. Nawaheshimu wanaume wasiotaka kuzaa hovyo na Wana ji control
Hii kuzaa hovyo hutesa watoto zaidi hasa malezi jinsi wababa huforce kuwanyang'anya watoto mama zao, matokeo mtoto anateseka kisa zinaaHuleta ugomvi kwenye familia, pia huyo anapata matatizo asiyo stahili anakuwa na hatia isiyo muhusu
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Bibie mwanzo mwa jambo ndo hilo la kuchepuka ambalo mwisho wake ni mimba ninaweza kufika huko na kukutana na style mujarrabu kama sakayonsa mbuzi kagoma kwenda au siku hizi mwaita kuchuma tembele amabazo zimeboreshwa kukutana nimeuza band (bendi )wajikuta ahadi kama za mwanatanu zinayeyuka kama barafu ni ngumu kwetu kutokana na tamaa zetu za asili ila salama niombee nisichepuke jamani pana wadada Wana makusudi na kupenda sifa kiuno kama fan (feni )mbovu khatari sana.Mimi napenda wanaume makini Bora achepuke tu ila kuzaa zaa nje ni lack of self control nakukaribisha ugomvi na watoto wa nje. Nawaheshimu wanaume wasiotaka kuzaa hovyo na Wana ji control
Akienda kuchanganywa nyumbani usiombe, matokeo yake anaenda kulelewa kwa babu mara shangazi ujinga tu, ila mie siwezi kulea mtoto aliyezaliwa Mimi tayari ni mke wakamlee huko huko walikomtafutiaHii kuzaa hovyo hutesa watoto zaidi hasa malezi jinsi wababa huforce kuwanyang'anya watoto mama zao, matokeo mtoto anateseka kisa zinaa
Usisingizie tamaa mara style aisee matokeo ni kutesa watoto, Mimi mtoto hata awe Ana fanya namna gani akili huwa kumkichwa hii zaa bila mpango kisa umepewa style ni uzembe, mbona wazungu hawazai hovyo. Tuache uzembe ona ka mleta mada Sasa anajuta for the rest of his life linapokuja swala la kuleta mtoto sio style, hafu licha ya style una risk the whole family mkifa na ngoma. Mtu anayezaa hovyo hajielewi.Bibie mwanzo mwa jambo ndo hilo la kuchepuka ambalo mwisho wake ni mimba ninaweza kufika huko na kukutana na style mujarrabu kama sakayonsa mbuzi kagoma kwenda au siku hizi mwaita kuchuma tembele amabazo zimeboreshwa kukutana nimeuza band (bendi )wajikuta ahadi kama za mwanatanu zinayeyuka kama barafu ni ngumu kwetu kutokana na tamaa zetu za asili ila salama niombee nisichepuke jamani pana wadada Wana makusudi na kupenda sifa kiuno kama fan (feni )mbovu khatari sana.
Mi hukutana na wanaume wenye akili bana Mambo ya kutegesheana hamna, hafu Bora kuwa na mchepuko usio na njaa nyingi.niheshimu na mimi basi
Na sikuhizi walezi hamna kutesa mtoto tu. Mimi kulelea mtoto wa uzinzi wa mwanaume sijichoshi aisee Bora nikimbizane na kutafta Hela, hafu najua siwezi ku balance upendoAkienda kuchanganywa nyumbani usiombe, matokeo yake anaenda kulelewa kwa babu mara shangazi ujinga tu, ila mie siwezi kulea mtoto aliyezaliwa Mimi tayari ni mke wakamlee huko huko walikomtafutia
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
daaaa
Yaani mimi lipo wazi silei mimi,.labda kama nimemkuta na awe alikuwa naye sio eti naolewa naanza kuletewa majukumu shabashi weee awe mkubwa ajihudumie mwenyewe chakula sina shida atakula tu si vinginevyo.Na sikuhizi walezi hamna kutesa mtoto tu. Mimi kulelea mtoto wa uzinzi wa mwanaume sijichoshi aisee Bora nikimbizane na kutafta Hela, hafu najua siwezi ku balance upendo
Nilijibugi ni kumuambia kuwa mke wangu hana time na mimi jumlisha na vi huduma yeye akaona khaa hapa nikijitahidi na we za okota NDOA ngoja nitengeneze ndoano ya NDOA akabuni ni mimba.Mi hukutana na wanaume wenye akili bana Mambo ya kutegesheana hamna, hafu Bora kuwa na mchepuko usio na njaa nyingi.
Ni baraka hujui huyo atakuja,kuwa mama samia suluhu au barack obama wale wako wahalali waje kuwa waalimuMi sitaki Baraka za namna hiyo
Unaanzaje kutoa siri nyumba (NDOA ) kwa mchepuko uliyekutana naye bila kutarajia? Wanaume mnahatari sana siku moja tu umefumpula yote kwa hawara? Lako hilo angalia tu usijitoe roho ukawachia maumivu watoto wakoNilijibugi ni kumuambia kuwa mke wangu hana time na mimi jumlisha na vi huduma yeye akaona khaa hapa nikijitahidi na we za okota NDOA ngoja nitengeneze ndoano ya NDOA akabuni ni mimba.
Nakuelewa na wala sijajificha penye mitindo uliandika bora mumeo achepuke kuliko kuzaa ndo nikatoa mfano huo kuwa tukichepuka tunanogewa jamani (wajameni )kama hujawahi kula kwa jirani basi utamuona bimkubwa wako ni mpishi mzuri Sasa ukionja kwa jirani inakuwa dharma mwisho mtuombee na mtuzoee tamaa na kupenda kuonjaonja ni ndugu yetu wa damuUsisingizie tamaa mara style aisee matokeo ni kutesa watoto, Mimi mtoto hata awe Ana fanya namna gani akili huwa kumkichwa hii zaa bila mpango kisa umepewa style ni uzembe, mbona wazungu hawazai hovyo. Tuache uzembe ona ka mleta mada Sasa anajuta for the rest of his life linapokuja swala la kuleta mtoto sio style, hafu licha ya style una risk the whole family mkifa na ngoma. Mtu anayezaa hovyo hajielewi.
Viumbe hao khatari sana huwa tunafanya makosa makubwa sana kuwachukulia poaHaaa haa haa halafu wanaume wakiitwa tu lazima wamalize tofauti na wanawake, kwani akili huwa zinaenda wapi!
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app