snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,065
- 24,559
Karibu sana
Njoo pm tuyajenge
Njoo pm tuyajenge
Natamani nikushitikishe hatua niliyofikia kimazungumzo na ticha wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natamani nikushitikishe hatua niliyofikia kimazungumzo na ticha wangu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Cheupe ila cha ajabu nilikuwa naamini wanawake weusi wafupi ni jeuri alafu wagumu kuelewa ila huyu nimepatikana
You should have been thinking about all of these before, rafiki yangu.Mi sipendi kuwa na urest kwenye familia yangu mke hajawahi kunifuma nimemsaliti sijui reaction yake inanitia hofu.
Nani kakutuma upige kavu, lea mtoto huyo,mwanaume akimbii majukumu.Kuna Mwalimu fulani anamfundisha mwanangu shule niliyomuhamishia baada ya Mimi kuhamishwa kikazi.
Ili kumfanya awe karibu na mwanangu nikawa nampa hela Mara kwa mara kumbe mwenzangu amevutiwa na mimi si tukafika point tukaanza kulana kichuri.
Kifupi amepata mimba ya mwezi mmoja na hataki kusikia habari ya kutoa, anadai alikuwa anahangaika kupata mimba na ananishukuru mimi kwa kumpa mimba. Mimi nimeoa wale Wanawake wanajiita wasomi yaani anapenda kazi kuliko mume na tunakaa mkoa tofauti tofauti kwa sababu ya kazi.
Mimi nimepanic Ilayeye ana furaha ya ajabu kiasi kwamba nikiona hivyo nazidi kupagawa. Anakataa hata kukutana na mimi, anajua naweza nnikamnyang'anya mimba yake.
KI UKWELI MI SITAKI KUZAA NAYE KWA SABABU NITAVURUGA NDOA YANGU.
Tusaidiane namna gani naweza kuukwepa huu mtego. Sitaki tena sitaki kuwa na mtoto wa nje
Salmin alitoa mimba ya demu wake hivi hivi kwa kuchukua hivo vidonge akavisaga akachukua sindano na kuvinyonya kisha akadunga kwenye box na kutikisa.Sikia ujanja sasa
NUNUA VILE VIDONGE VYA MISL SJUI NN VINAUZWA 20000 VIPONDE PONDE NUNUA JUICE YA TROPICAL KUBWA ILE YA MABOKSI ULE UNGA WAKE VIDONGE MIMINA HUKO KISHA TINGISHA BOKSI ASIJUE HALAFU FUNGA VZUR MUITE MUONANE JIFANYE UMENUNULIA ZAWADI AKINYWA TU BASI
Hili linanijambishaYou should have been thinking about all of these before, rafiki yangu.
Mi nikwambie tu ukweli, mkeo akijua hii ni balaa.
Ndoa yenu haitakuwa as it use to be.
Na hata akitulia, niki kidonda hakiponi.
Kwamba kuna mahali mume ana mtoto?
Weeeeeh, naijua hii trauma.
Been there, so naongea tu hapa ila hii kitu inatikisa mno familia.
Mi haikuniacha salama.
Kiukweli nimekumind kinoma, basi tu.
I know.Hili linanijambisha
Dah!!Salmin alitoa mimba ya demu wake hivi hivi kwa kuchukua hivo vidonge akavisaga akachukua sindano na kuvinyonya kisha akadunga kwenye box na kutikisa.
Mi huwa nashangaa, kwani watoto wa nje Wana shida gani? Asilimia 80 ya masupastaa wote duniani ni watoto wa nje, kuanzia Bob Marley, Tupac, Big, Justin Bieber, Diamond nk..na baba zao waliwakataa Kama unavyomkataa wewe sasaiv. Akue akihudimiwa na mama yake peke yake halaf uje kutusumbua hapa na kutishia kila siku kutoa laana!Kuna Mwalimu fulani anamfundisha mwanangu shule niliyomuhamishia baada ya Mimi kuhamishwa kikazi.
Ili kumfanya awe karibu na mwanangu nikawa nampa hela Mara kwa mara kumbe mwenzangu amevutiwa na mimi si tukafika point tukaanza kulana kichuri.
Kifupi amepata mimba ya mwezi mmoja na hataki kusikia habari ya kutoa, anadai alikuwa anahangaika kupata mimba na ananishukuru mimi kwa kumpa mimba. Mimi nimeoa wale Wanawake wanajiita wasomi yaani anapenda kazi kuliko mume na tunakaa mkoa tofauti tofauti kwa sababu ya kazi.
Mimi nimepanic Ilayeye ana furaha ya ajabu kiasi kwamba nikiona hivyo nazidi kupagawa. Anakataa hata kukutana na mimi, anajua naweza nnikamnyang'anya mimba yake.
KI UKWELI MI SITAKI KUZAA NAYE KWA SABABU NITAVURUGA NDOA YANGU.
Tusaidiane namna gani naweza kuukwepa huu mtego. Sitaki tena sitaki kuwa na mtoto wa nje
Yaani unaogopa mimba wakati Ukimwi hujapima?Kuna Mwalimu fulani anamfundisha mwanangu shule niliyomuhamishia baada ya Mimi kuhamishwa kikazi.
Ili kumfanya awe karibu na mwanangu nikawa nampa hela Mara kwa mara kumbe mwenzangu amevutiwa na mimi si tukafika point tukaanza kulana kichuri.
Kifupi amepata mimba ya mwezi mmoja na hataki kusikia habari ya kutoa, anadai alikuwa anahangaika kupata mimba na ananishukuru mimi kwa kumpa mimba. Mimi nimeoa wale Wanawake wanajiita wasomi yaani anapenda kazi kuliko mume na tunakaa mkoa tofauti tofauti kwa sababu ya kazi.
Mimi nimepanic Ilayeye ana furaha ya ajabu kiasi kwamba nikiona hivyo nazidi kupagawa. Anakataa hata kukutana na mimi, anajua naweza nnikamnyang'anya mimba yake.
KI UKWELI MI SITAKI KUZAA NAYE KWA SABABU NITAVURUGA NDOA YANGU.
Tusaidiane namna gani naweza kuukwepa huu mtego. Sitaki tena sitaki kuwa na mtoto wa nje
udhaifu kutake care, mtoto azaliwe katika maisha bora. mm nimepitia maisha ya kutengwa hao wanaojiita ndugu na wazazi n.k na nimepambana sana . siwezi sema nimepata ila atleast siyo mbaya sasa nikifikirioa nilivyopambana mimi ndo mwanangu apambane hivyo double NO!Wewe ni dhaifu Sana utateseka hapa Dunia
hujui historia nzima,siku hizi huitaji barua kumpata demu yeye mwenyewe anaweka mazingira rahisi ya kuliwa kimasihara tena rahisi sana na si mazingira ya upendoPole sana, sasa huwa mnawatongoza wanini kama hujampenda? Ngoja nikwambie kama anajua humpendi huko aliko anahangaika kweli ili uelekee
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobi
huu ni kati ya ushauri mbaya niliowai pewa, nioe msichana nisiye mpenda kabisa yani, kisa mtoto! hapanaSasa utafanyaje, atakuganda huyo kama kunguni [emoji28][emoji28][emoji28], hapo ushaongeza single mother, basi oa huyo haraka lasivyo utajutia na huyo mzazi
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Lakini unavolalamika bila kuwaambia hao ukweli kuwa wewe sio ATM bank ndo udhaifu huo, why ufanye kitu kwa manung'uniko lakini?udhaifu kutake care, mtoto azaliwe katika maisha bora. mm nimepitia maisha ya kutengwa hao wanaojiita ndugu na wazazi n.k na nimepambana sana . siwezi sema nimepata ila atleast siyo mbaya sasa nikifikirioa nilivyopambana mimi ndo mwanangu apambane hivyo double NO!
Anza kumgusia mkeo polepoleHili linanijambisha
DAa moto unawakaAnza kumgusia mkeo polepole
Changamoto za upweke kuishi mbali
umsikie
ujue tusikimbilie kulaumu ama kujilaumu
Mlitarajia nini kuishi mbali mbali kwa muda mrefu?.
na mna mpango gani?
Kwanini ulianza kulala na mtu mwingine?
Ni hamu tu? Ni mapenzi ama?
Pande zote mnatarajia nini?.
Jadilini
mana kuachana na huyo utaanza kutiana na mwingine pia.,mpya
magonjwa?heri uoe mke wa pili ajulikane upange zamu nyumba kubwa na ndogo ama uendelee kubadili malaya
ina amani mke mkubwa kujua mwenzangu yuko kwa mdogo na mdogo kujua uko kwa mkubwa..keeping the circle small
ama utatumia sabuni tu?
Ama?
baadhi ya discussion ni worth having
baada ya yoooote
Ndio mweleze mkeo umempa mtu mimba kutokana na upweke wa kuishi mwenyewe ama sbb unazozijua
Na mkubaliane mnafanyaje
Conversations: Communicating causes,intentions nkDAa moto unawaka
Kama vile namuona baada ya miezi 6 mama kijacho katupia picha Istagram ameshikilia tumbo lake.Hili linanijambisha
Nilijua nipo peke yangu kumbe wengi yametukuta.Kuna Mwalimu fulani anamfundisha mwanangu shule niliyomuhamishia baada ya Mimi kuhamishwa kikazi.