Ana Mimba yangu, ila nimeoa na sitaki mtoto nje ya ndoa

Mama yakr kukuomba pesa anakosea kabisa hiyo tabia piga mkwara
yan natamani hadi kukimbia halafu ana akili fyatu , nahofu anaweza kuja tafuta mama yangu au ndugu zangu. hivyo akipiga simu nasababisha miamala ingawa na hofu sana sana coz simpendi kabisa. ila yeye kashaona fursa yani, hat hivyo na mwanamke tofauti na huyu amaenivumilia zaid ya miaka kumi toka nipo o level, na nafuture naye kabisa ya kumuoa na ni mwanamke naogopa kumpoteza yani coz kajitoa sana kwa kila hali hadi leo na anajulikana nyumbani. naumia sina jinsi tyu
Mama yakr kukuomba pesa anakosea kabisa hiyo tabia piga mkwara
 
Sitaki Nataka, mguu nje mguu ndani, laana nyingine tunazitafuta wenyewe.
LEA!!!
 
Daaa mwanangu na wewe kumbe kuna sebene unacheza huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
dah mwanangu acha tu, bora wakwako mimi nachunwa balaa ingawa demu anafanya kazi ila kila saa et mtoto anataka maji ya kilimanjaro , mara pepsi, mala mapapai mala sijui vitu gani yani hapo nimempangishia na kumwekea vitu na kifurushi cha azam, eti mtoto anataka movie ,hata saa nne usiku kifurushi kikiisha ntapigiwa simu. kinachoniuma si kuhudumia kinachoniuma natupa hela wakati sina malengo naye, nasubiri ajifunguie nimwambie jihudumie sasa mm nimeshachoka
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila ngoja niwe mkweli tu aisee nimegundua mbunye nyingi nyeupe zinavutia sana. Kwa hiyo simshangai lol!
umeona eee
 
Reactions: BAK
Kuna wanaume huchepuka kwa ndomu au kumwaga nje ulikwama wapi, hongera kwa kukaribisha janga litakutesa Hadi uzeeni na mkeo anaweza kukuacha
 
Kuna wanaume huchepuka kwa ndomu au kumwaga nje ulikwama wapi, hongera kwa kukaribisha janga litakutesa Hadi uzeeni na mkeo anaweza kukuacha
Sio kila mwanaume ana uwezo wa kupangua gia (gear )wengine uwezo wetu likija bao basi ndo unakandamiza hivyo vigezo vyako havitufai.Kwanza fikra zinahama waja kukumbuka waqt anakwambia ahsante baby wajistukia kumbe umeuza mechi umeloweka.
 
Wanacheza sana offside trick (trap)kama enzi za philip inzaghi mpaka sir Alex furguson akatania kuwa inzaghi alizaliwa kwenye offside position.
 
Mme mwenyewe uwe unamwelewa, unakataa kwenda kufanya kazi wakati maisha yanakuchakata balaa na hakujali kivile hiyo kazi utaiacha? Kuna wanaume ukiawategemea kwa kila kitu wanamasimango hakuna mfano, kama kamkuta anafanya kazi afanye tu.

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Hapo hakuna namna boss. Mkeka wake aliuweka vizuri hapo ni kutulia
Na maisha haya kuna leo na kesho hivyo mfahamishe mkeo hili
 

Ulitakiwa uulize kabla ujamla! Anaenda kukuharibia ndoa huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…