Ana Mimba yangu, ila nimeoa na sitaki mtoto nje ya ndoa

Mi sipendi kuwa na urest kwenye familia yangu mke hajawahi kunifuma nimemsaliti sijui reaction yake inanitia hofu.
You should have been thinking about all of these before, rafiki yangu.
Mi nikwambie tu ukweli, mkeo akijua hii ni balaa.
Ndoa yenu haitakuwa as it use to be.
Na hata akitulia, niki kidonda hakiponi.
Kwamba kuna mahali mume ana mtoto?
Weeeeeh, naijua hii trauma.
Been there, so naongea tu hapa ila hii kitu inatikisa mno familia.
Mi haikuniacha salama.
Kiukweli nimekumind kinoma, basi tu.
 
Nani kakutuma upige kavu, lea mtoto huyo,mwanaume akimbii majukumu.
 
Salmin alitoa mimba ya demu wake hivi hivi kwa kuchukua hivo vidonge akavisaga akachukua sindano na kuvinyonya kisha akadunga kwenye box na kutikisa.
 
Hili linanijambisha
 
Salmin alitoa mimba ya demu wake hivi hivi kwa kuchukua hivo vidonge akavisaga akachukua sindano na kuvinyonya kisha akadunga kwenye box na kutikisa.
Dah!!
This is how evil men can be.
Maisha haya, duh
 
Mi huwa nashangaa, kwani watoto wa nje Wana shida gani? Asilimia 80 ya masupastaa wote duniani ni watoto wa nje, kuanzia Bob Marley, Tupac, Big, Justin Bieber, Diamond nk..na baba zao waliwakataa Kama unavyomkataa wewe sasaiv. Akue akihudimiwa na mama yake peke yake halaf uje kutusumbua hapa na kutishia kila siku kutoa laana!
 
Yaani unaogopa mimba wakati Ukimwi hujapima?
 
Wewe ni dhaifu Sana utateseka hapa Dunia
udhaifu kutake care, mtoto azaliwe katika maisha bora. mm nimepitia maisha ya kutengwa hao wanaojiita ndugu na wazazi n.k na nimepambana sana . siwezi sema nimepata ila atleast siyo mbaya sasa nikifikirioa nilivyopambana mimi ndo mwanangu apambane hivyo double NO!
 
Pole sana, sasa huwa mnawatongoza wanini kama hujampenda? Ngoja nikwambie kama anajua humpendi huko aliko anahangaika kweli ili uelekee

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobi
hujui historia nzima,siku hizi huitaji barua kumpata demu yeye mwenyewe anaweka mazingira rahisi ya kuliwa kimasihara tena rahisi sana na si mazingira ya upendo
 
Sasa utafanyaje, atakuganda huyo kama kunguni [emoji28][emoji28][emoji28], hapo ushaongeza single mother, basi oa huyo haraka lasivyo utajutia na huyo mzazi

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
huu ni kati ya ushauri mbaya niliowai pewa, nioe msichana nisiye mpenda kabisa yani, kisa mtoto! hapana
 
Lakini unavolalamika bila kuwaambia hao ukweli kuwa wewe sio ATM bank ndo udhaifu huo, why ufanye kitu kwa manung'uniko lakini?
 
Hili linanijambisha
Anza kumgusia mkeo polepole
Changamoto za upweke kuishi mbali

umsikie

ujue tusikimbilie kulaumu ama kujilaumu
Mlitarajia nini kuishi mbali mbali kwa muda mrefu?.

na mna mpango gani?
Kwanini ulianza kulala na mtu mwingine?
Ni hamu tu? Ni mapenzi ama?
Pande zote mnatarajia nini?.
Jadilini

mana kuachana na huyo utaanza kutiana na mwingine pia.,mpya

magonjwa?heri uoe mke wa pili ajulikane upange zamu nyumba kubwa na ndogo ama uendelee kubadili malaya

ina amani mke mkubwa kujua mwenzangu yuko kwa mdogo na mdogo kujua uko kwa mkubwa..keeping the circle small

ama utatumia sabuni tu?
Ama?

baadhi ya discussion ni worth having

baada ya yoooote
Ndio mweleze mkeo umempa mtu mimba kutokana na upweke wa kuishi mwenyewe ama sbb unazozijua
Na mkubaliane mnafanyaje
 
DAa moto unawaka
 
DAa moto unawaka
Conversations: Communicating causes,intentions nk

na mwenzio muulize huko aliko ni mwaminifu kwako ama ana mpango gani?

Anakusaliti? na ye azae ?akikumiss anafanyaje?
Mna mpango gani na future ya ndoa yenu
Na mtoto mpya?

jadilini kuleta muafaka mzuri kwa pande zote
 
Hili linanijambisha
Kama vile namuona baada ya miezi 6 mama kijacho katupia picha Istagram ameshikilia tumbo lake.
Utakuta kabeba mimba makusudi ili na yeye awatambie wenzake, maana hii style ndio imekua habari ya mujini kwa sasa.
 
Nilijua nipo peke yangu kumbe wengi yametukuta.
Dah nawaza siku wife akijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…