Ana mtoto wa miezi mitatu, pia anaujauzito wa wiki tatu

Ana mtoto wa miezi mitatu, pia anaujauzito wa wiki tatu

hakuna cha ziada hapo zaidi ya kusubiri ajifungue tu...ila nachojua mtoto wa kwanza ataathirika sana kisaikolojia hasa kutokana na kuachishwa mapema na kukosa mapenzi ya mama....this is very common in African culture.......
 
NA HUYO M,KE ALIKUA HAJUI SKU ZAKE?///:nimekataa
Apolonary unamuonea Bidada.

Hili ni jambo la kawaida kuwatokea baadhi ya wanawake baada ya kujifungua.
Kwa kawaida baada ya kujifungua mwanamke hatakiwi kuzipata siku zake kwa takribani miezi mitatu.
Hiyo ni njia ya uzazi wa mpango iliyoumbwa na Muumba;
Wakati mwingine hukoma kufanyakazi;
Iwapo wanandoa hawatatumia vifanyio au kumwaga nje uwezekano wa mimba ni mkubwa;
Hii ni kwa vile mke hajui siku zake.

Siku zinazotakiwa baada ya kujifungua kuanza tena shughuli ni 40 tu iwapo hakuna uongezaji wa njia au mpasuko.
Iwapo ni kwa kisu hakuna shida kabisa yaani mambo muswano.
Mume na mke walikuwa wakitekeleza agizo la ndoa;
Mimba ni ajali tu
Alee mimba na mtoto ingawa ni ngumu.

Bazazi Nimesema.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom