Akili mfu!Kwani shida iko wapi kila mtu ana riziki lake
Hili bara usishangae kwanini umasikini upo kwa kiasi cha kutisha kumbe wajing,a sampuli yako hawajaisha.Kwani shida iko wapi kila mtu ana riziki lake
There is no hope in Tz niggaHili bara usishangae kwanini umasikini upo kwa kiasi cha kutisha kumbe wajing,a sampuli yako hawajaisha.
Tatizo sio riziki bali shida ipo kwenye uduni wa huduma kama shule nzuri ambazo zitaweka ushindani sawa wa kupambania nafasi za uongozi.
Sasa wa kwako anasoma shule ambayo ina upungufu wa vyumba vya madarasa, uhaba wa madawati nakadhalika halafu bado unaona ni sawa tu?
Wacha washinde CCM utakuwa kama KANU!Chawa mmelogwa. Haya ndiyo anayoyakemea Heche na bado hamuoni ukweli wa hoja zake.
Kuwa shule zetu ziwe nzuri na watoto wenu wawe na nafasi za kugombea hayo ya Isaac. Siyo kosa Isaac kugombea na akapita, lakini je na wewe wa kwako ana fursa ya kugombea? Mnamuona mchochezi. Mmelogwa... Twende kazi.
View attachment 3631139
Inasikitisha sana.Mwanangu anafundishwa kufinyanga vyungu, kusuka mifagio na mikeka akiwa amekaa chini kitu ambacho ni kumrudisha zama za mawe za kati hali wa kwao wanapiga computer simulation-practical zao ni kufanya downing ya makombora ya Iran.
Lilikufa na ushamba wake. Sasa kina Jesca wanasubiri kibebwabebwa tu sababu Baba yao hakuwaandaaKuingiza watoto kwenye siasa lilikuwa kosa kubwa sana.
Jiwe alishayaona haya alipiga stop haya mambo,
Gentleman,Chawa mmelogwa. Haya ndiyo anayoyakemea Heche na bado hamuoni ukweli wa hoja zake.
Kuwa shule zetu ziwe nzuri na watoto wenu wawe na nafasi za kugombea hayo ya Isaac. Siyo kosa Isaac kugombea na akapita, lakini je na wewe wa kwako ana fursa ya kugombea? Mnamuona mchochezi. Mmelogwa... Twende kazi.
View attachment 3631139
Na KILA siku mtoto sense 1500 aspoenda nayo anarudishwa nyumbani kayumba pia nikama za kulipia tuuHili bara usishangae kwanini umasikini upo kwa kiasi cha kutisha kumbe wajing,a sampuli yako hawajaisha.