Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sauti zao zomeminywa muda mrefu na mkoloni mweusi Tanganyika, hivyo wamekomaa kifikraDuh..... Zanzibar kumekucha.
Unguja wanajua siasa kuliko Tanganyika sijajua ni kwanini?!
Wewe ndo hujui siasaWewe ndo huijui siasa.
Sisi wa Bara tunaijua siasa mwanzo mwisho
Nilifikiri Magufuli angesaidia kututua hili zigo la Zanzibar lakini sioni dalili.Duh..... Zanzibar kumekucha.
Unguja wanajua siasa kuliko Tanganyika sijajua ni kwanini?!
Hakuna wa kumzuia Maalim kwenye urais. Tatizo pengine litakuwa kwenye muundo wa seriakali kwani sioni, kwa mazingira yaliyopo, akipata zaidi ya theluthi ya wabunge.Sijui badala ya Jecha nini kitatokea mwaka huu. Kimantiki sioni jamaa watatokea wapi. Na mabeberu nasikia safari hii baada ya kupewa ahadi na papaa wanatumulika sana.
Mtoto wa miaka ya 90 huna ujualoWewe ndo hujui siasa
Rejea tena kusoma!
!
Kwani Zanzibar ni nchi au Sio Nchi!? Inaweza Kufanya nini Chake Yenyewe Bila Kuingiliwa Na Tanganyika? Au ule msemo ni koloni la Tanganyika ni kweli?
Ngoja tufunge Speaker kwanza, wako Ikungi wanadanganya Wananchi wazae ili wafe njaa afurahiMgombea wa Kina polepole😂 sauti inatosha?
Tanganyika walipewa Uhuru mezani baada ya Uingereza kuchoka... Wengi akili zao zimesetiwa kusubiria vya mezani...!! Hawana uwezo wa kuwaza vinginevyo!!Duh..... Zanzibar kumekucha.
Unguja wanajua siasa kuliko Tanganyika sijajua ni kwanini?!
Msanii huyu hageuki, sie wafuasi wake tunajua ladha ya maandiko yake, yule ni mwenzetu hata akivaa juba na nikabu tunamfahamu mwanakwetu.Andiko la mwanasheria mkuu limekaa kimtego mtego.
Lakini tunaaminije kama ameandika yeye au wanamuwekea maneno mdomoni?
Pili, tutarajie haya kwa sababu ya siass za Zanzibar ambapo inajulikana wazi kuna tatizo la makundi na fitina za chinichini hass pale kundi fulani linapokosa mtu wao kuteuliwa...
Tatu, kuna baadhi ya watumishi au viongozi fulani wa Zanzibar ambao wanahisi maslahi yao hayatalindwa pale ambapo waliyemtarajia hajapata nafasi ya kugombea.
Kikubwa kwa sasa ni kuiangalia ilani na kuhakikisha aliyeteuliwa anakula yamini ya kuiishi