Anaandika aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman

Anaandika aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman

Msanii huyu hageuki, sie wafuasi wake tunajua ladha ya maandiko yake, yule ni mwenzetu hata akivaa juba na nikabu tunamfahamu mwanakwetu.
Wabaguzi sana nyie
 
Duh..... Zanzibar kumekucha.

Unguja wanajua siasa kuliko Tanganyika sijajua ni kwanini?!
Unguja au Pemba? Bora ungeandika Unguja na Pemba.
Ukisema Unguja pekee waweza kuwa sahihi kwani makao makuu ya SMZ yapo Unguja,but kwa siasa za Zanzibar,Pemba na Unguja wapo tofauti.
 
Mwambieni Pole Pole aje huku anaitwa. Asisahau kumwita Mwanasheria mkuu na Mtemi Chenge.

Hapa CCM hutawaona
CCM ya sasa hakuna hata mmoja anayeweza kusimama na kujenga hoja kwa hoja, kutetea hoja kwa hoja au kupinga hoja kwa hoja,hakuna kabisa.
 
Bwana Humphrey Polepole ni mpigadebe mzuri, ni mpambaji mjuzi na dalali anayeweza kumuuzia mtu jaa [jalala] kwa jina la kasri ya mtindo wa Mediterranean
 
Back
Top Bottom