Unguja au Pemba? Bora ungeandika Unguja na Pemba.
Ukisema Unguja pekee waweza kuwa sahihi kwani makao makuu ya SMZ yapo Unguja,but kwa siasa za Zanzibar,Pemba na Unguja wapo tofauti.
Bwana Humphrey Polepole ni mpigadebe mzuri, ni mpambaji mjuzi na dalali anayeweza kumuuzia mtu jaa [jalala] kwa jina la kasri ya mtindo wa Mediterranean