MONEY IS NOT EVERYTHING
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 2,242
- 3,161
mbona machapisho yake mengi yanazama kwenye serikali kutotenda haki+Chadema kuonewa=Serikali kutoheshiwa na kutokuitii mamlaka mliyopewa+ CCM kupewa haki yake inapoonewa hata kimatamshi mbona huwa hazungumzii..Mazungumzo yake mengi yamejikita upande mmoja ndo hautendi haki? kama ameamua kutetea haki anapaswa asifungamane na upande wowote...kama mimi hapa sifungamani na upande wowote.Upande wa haki na ukweli.
Amandla...