Anaandika Askofu Bagonza: Nadhani Tunajichanganya? Au ni Mimi Najichanganya?!

Upande wa haki na ukweli.

Amandla...
mbona machapisho yake mengi yanazama kwenye serikali kutotenda haki+Chadema kuonewa=Serikali kutoheshiwa na kutokuitii mamlaka mliyopewa+ CCM kupewa haki yake inapoonewa hata kimatamshi mbona huwa hazungumzii..Mazungumzo yake mengi yamejikita upande mmoja ndo hautendi haki? kama ameamua kutetea haki anapaswa asifungamane na upande wowote...kama mimi hapa sifungamani na upande wowote.
 
Hahaha
 
Aliekuambia serikali imeenda kufanya lobying nani??

Teh teh teh,acheni kujazana upuuzi makafiri...serikali hii haiko answerable kwa wavaa magauni hadi useme.wameenda kufanya lobying.

Vipi naona upenyo pale bandarini DP World wameziba mnazidi kujamba jamba kenge nyinyi

Teh teh teh
 

Wavaa magauni siku zote hawana akili

Mfano yule mwehu kitima anashinda kwenye vikao na chadema baadae anakuja kusema yeye ni mtetezi.wa haki za binadamu

Hapo hapo amevaa magauni yake yanayonuka.mikojo...sasa si achague moja??
 
Wameenda kufanya nini, kuna jambo gani kubwa la kimaendelea utaenda kufanya na Vatican? Wangeenda kukutana na serekali Italy hapo sawa.

Bandari ipi, maana kanisa linaingiza bidhaa za kawaida, sasa kuna kitisho gani watakipata hao Roman hapo bandarani?
 
Kwahiyo mnataka papa afanye nini😆
 
Ww nani anakujua boss?
 
Wewe ndio msemaji wa Serikali? Hamza nani sijui ndio wewe?
 
Tungepatana nyumbani kwanza na wawakilishi wa Papa kabla ya kwenda kwa Papa. Tumempiga Padre wake; Tumetengeneza Wakatoliki Vijora; Tunamdhalilisha Kitima, halafu tunaenda kwa Papa
CCM wajinga sana, wanadhani Vatican haijui ujinga wao
 
Don't confuse justice with compromisatio
 
Nchi ngumu sana hii!.
Hapo kwa akili yako umeona umepambana kujibu hoja za Askofu ! tatizo sio wewe tatizo ni wale waliotunga mimba yako usiku wa maneno wamelewa chakari kwenye vigoma vya uswahilini na ukakua kwa msaada wa viazi pori aina ya Ming'oko !
 
Wavaa magauni siku zote hawana akili

Mfano yule mwehu kitima anashinda kwenye vikao na chadema baadae anakuja kusema yeye ni mtetezi.wa haki za binadamu

Hapo hapo amevaa magauni yake yanayonuka.mikojo...sasa si achague moja??
Kwahy hyo mliemwendea huko vatcan yy anavaa 👖?
 
Watu wengi wanaosema hawafungamani na upande wowote ni wanafik. Kwenye suala la Haki hakuna upande wa kuchagua. Kwenye suala la Haki, ni yule aliye na nguvu ndio anawajibika kuhakikisha kuwa ipo. Nice mfano wa mahali chama chochote cha upinzani kimeionea CCM kimatamshi.

Amandla...
 
Huyo THE BIG SHOW hayuko sawa kichwani.

Anaumwa ukristophobia.

Yeye Kila kitu anakiangalia katika udini. Alafu hajui chochote kuhusu taratibu za RC. Amekazana Kila nyuzi kutukana tu . Huita mapadre na maaskofu mbwa,wapiga punyeto na wavaa magauni. .

Hakuna mkristo amewahi humu kuwaambia wanaovaa kanzu wanavaa magauni ilhali hao wa upande wake ndiyo wavaaaji wakubwa wa hizo nguo.

Hata hivyo Moderator ni mpole sana kwa jamaa. Siku hizi amezidi matusi,hali yake imekuwa mbaya kuliko mwanzo. Ugonjwa wake wa "ukristophobia"unazidi kukua kwa kasi.
 
Bora baba yko angemwagia nje
 
bwaa shekhe mbona unapaniki...unaponiambia mimi mwizi, fisadi bila ushahidi na bila kufuata taratibu za kisheria kuhalalisha wiz na ufisadi wangu unaleta athari gani? Nini chanzo cha uvunjifu wa haki? Bagonza amewahi kuwataharisha CDM kwa matamshi yao na kuwashauri wafuate utaratibu? sipo kumponda najaribu kuangalia upande unaosemwa ili tuone chanzo ni nini? vip Tutakinukisha? Bagonza alishauri nini hapo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…